Rais Samia na miradi ya Mwendezake. Yeye Tutamkumbuka kwa lipi??

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,053
13,708
Miradi ya kimageuzi inaendelea kwa kasi chini ya uongozi imara wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

NB Hii miradi yote ni ya mwendazake. Yeye tutamkumbuka kwa lipi??
FB_IMG_1704369834093.jpg
 
Miradi ya kimageuzi inaendelea kwa kasi chini ya uongozi imara wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.

NB Hii miradi yote ni ya mwendazake. Yeye tutamkumbuka kwa lipi??View attachment 2861714
mwendazake hana mradi zaidi ya Morocco to kawe kwa pesa za posho za wabunge.

Miradi mikubwa yote aliikuta ipo mezani na imeshaanza hatua za awali za utekelezaji. Kaja kuisimamia na kaondoka hajaumaliza hata mmoja.
 
Tutamkumbuka kwa kuikamilisha.
Ni kweli. Pia tutamkumbuka kwa kufufua viwanda vilivyofungwa na JPM.

Hata wapinzani waliokimbilia nje ya nchi kujificha na kwenda kujitibu kutokana na chuki za JPM, Mama aliwaruhusu warudi. Maana JPM aliwambia wanachelewesha maendeleo
 
Ni kweli. Pia tutamkumbuka kwa kufufua viwanda vilivyofungwa na JPM.

Hata wapinzani waliokimbilia nje ya nchi kujificha na kwenda kujitibu kutokana na chuki za JPM, Mama aliwaruhusu warudi
Turudi kwenye hoja, Rais Samia Suluhu Hassan tutamkumbuka kwa miradi gani??
 
mwendazake hana mradi zaidi ya Morocco to kawe kwa pesa za posho za wabunge.

Miradi mikubwa yote aliikuta ipo mezani na imeshaanza hatua za awali za utekelezaji. Kaja kuisimamia na kaondoka hajaumaliza hata mmoja.
Aliikuta mezani iliwekwa na nani, na kwanini iliwekwa mezani miaka yote hiyo? 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom