Kila kitu kwake ni bure, mshahara wake haugusi kabisa, hata yale magoli anayonunua hagusi mshahara wakeHuyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Nikusaidie kuuliza swali la pili.Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Na hii unaiita hoja?Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Hakika kamarada...Umesema ya kweli mkuu wacha abadilishe
Mkuu kuna watu ukipita kwenye maji wanakuambia unatutimulia vumbiWatu mnanongwa aisee mpaka kuvaaa?
ExquisiteMkuu unaishi wapi tuonane tunywe wine? Yaani mke wangu tu home ninavyompamba. Yaani anarudia nguo za kutoka baada ya miaka kadhaa sembuse Rais wa nchi? Kwanza ninataka mhusika wake wa kumvalisha ambadilishie mavazi yawe expensive zaidi. Kama ni Kitenge kiwe ni no 1 kabisa the wax yaani kama ni suiting material iwe classic. Tena ashonewe na designers wakubwa. She is our president, our first family, our first female in this country. Ni lazima avae Sana na apendeze kuliko Wanawake wote kimavazi. Kudos
Rais ni taasisi,Ina bajeti yake na Kuna plotokali za kufata anaandaliwa Kila kitu,acha roho mbayaHuyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Kiduku anavaa mabwanga nabado satellite zinarukaUshindwe kumvisha VYEMA rais wako na uwe na uwezo wa kupeleka SATELLITE anga za mbali?!!!
Huo utakuwa "UHOBOBO" wa taifa
#SiempreJMT
#MamaKaja
Kiduku anavaa mabwanga nabado satellite zinaruka
Mshahara wake hautoshi kununua nguo?Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine.
Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
Ndio bado wapo na wamebaki wawili tu, mama na baba yako tu,We mtoa post ni pomole... kumbe Tz bado tunawajinga kiasi Cha wewe, wewe niwahovyo! Kweli Karne hii mtu unakuja na hoja za kijinga namna hii?
Sijui enzi za mwalim hali ilikuwaje Tz, enzi hzo nchi ipo kwenye serious Vita ya UJINGA,MARADHI NA UMASIKINI