Ushindani na the best in the industry ndiyo kitu bora kuliko kubakia tunashindana na the weakest. Haijalishi leo tuna vichache vya kuuza huko kama Majani ya chai na Kahawa ila tukiwa na akili ya kuona mbele tunaweza tuka export holticulture products, nyama za mbuzi na kondoo na live animals kama mijusi, vipepeo, vinyonga etcIle Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga EPA kwa maana hawakuona manufaa yoyote kwa nchi yetu kwani hatuna cha kuuza EU wakati EU wana kila kitu cha kuuza kwetu.
Je, Viwanda vyetu juice ya Azam na umeme wa mgao vita compete na EU products? Kama hapo Kenya tu au Uganda ni ngumu kushindana tutaweza EU ?
Ikumbukwe sukari kutoka Brazili ni cheaper kuliko ya Tanzania sasa EU products tax free Tanzania, tutaweza?
Tunategemea kuuza nini EU ? Vipi natural resources zetu ?
Kweli ni Vita ya Kiuchumi RIP Magu …
Tupambane, tuache uvivu watu wafanye Kazi. Kuna mazao mengi Sana ambayo tunaweza kuuza ulaya. Mfano mzuri ni asali yanahitajika sana Ulaya.Tuna mapori mengi Sana lakini tumeshindwa kupambana tunabaki kulaumu kwamba hatuna Cha kuuza ulaya. Ukienda pale Vijibweni watu wanazalisha asali, sisi tunabaki kulaumu.
Ushindani na the best in the industry ndiyo kitu bora kuliko kubakia tunashindana na the weakest. Haijalishi leo tuna vichache vya kuuza huko kama Majani ya chai na Kahawa ila tukiwa na akili ya kuona mbele tunaweza tuka export holticulture products, nyama za mbuzi na kondoo na live animals kama mijusi, vipepeo, vinyonga etc
Kwa mtazamo wangu Mama anaupiga mwingi, tumuunge mkono tu kwa kuzalisha vilivyo bora.
Lakini kama tumeamua kuwa wasindikizaji kwenye uchumi wa Dunia basi tuendelee kubeza juhudi za Rais SSH
Mshauri wake ni tony blair ambaye alikuwa mpiga debe mkubwa wa epaNimesoma na kusema ilkabidi nicheke tuu! Kusema kweli Rais wetu si mwenye tabia ya kusoma vitu hata kidogo! Sitashangaa yeye akisaini kwakuwa kaambiwa! Rais wetu yeye huwa akikutana na mkataba ni kusaini tuu wala sina hakika kama anao muda wa kusoma hata kidogo.
Rais Samia ana udhaifu wa kutopenda kufatilia kujipa muda wa kujitafakari na kupitia mambo yeye huwa ni mtu wa kuanguka tuu sahihi hana muda kabisa.......
Nakumbuka hata ule mkataba pale bandarini alishiriki utiwaji saini baadae akaja kugundua aliingizwa cha kike
Lakini Rais Samia anahitaji kushauriwa zaidi kabla ya kusaini mikataba ni lazima tuangalie mbele na tujiulize je viwanda vyetu na huo uchumi wa viwanda tutafika kweli?
Rais Samia lazima awe makini kwa watu wake wanao mshauri!
Huko tuendako nadhani nafasi ya u Makamu wa Rais itatiliwa maanani
Pia umesababisha wananchi kuwa mazuzu kusubiria kila kitu serikali na kulaumu,hatujui ubunifu na kuchangamkia fursa.
Ndio maana mimi naona turuhusu afu kwa njia hiyo tutajifunza kuwa aggressive badala ya kubaki na kurithishana maujinga yetu.
Naunga mkono Rais kusaini.
Kwa gharama ya Viwanda vyetu ? Vipi kuhusu ajira za watu wetu waliojiriwa kwenye hivi viwanda vyetu? Vipi kuhusu mapato ya kodi tunayoyapata sasa hivi kwa kutoza kodi imports ? Nani atafidia hiyo yote ?
Umeongea ukweli! Rais Samia sio mtu ambae anaweza kusoma jambo na akalichambua ye mwenyewe kwa mapana lakini ata akishauliwa bado ni kazi bure maana naamini uo mkataba alishawahi kuusikia enzi za JPM akiusema hauna maslahi kwetu!
Samia anaamini kwenye Ubepari, Samia anaamini ili taifa liendelee lazima mzungu ashirikianenae direct, Samia atakubali masharti mengi ya ovyo kutoka upande wa Magharibi cos anawatetema pia anawanyenyekea pia.
Naamini yule alietuambia Baba wa Mikata hana kazi kule na sitaki kuamini kama kaendanae maana kwahakika yule hawezi kuukubali ule mkataba.
Hakuna kitakachobadilika, nchi imejaa bidhaa hafifu za China kwa sababu raia wake wengi ni wa kipato cha chini na maskini.Vingi tuu vitabadilika,badala ya Nchi kujaa bidhaa hafifu za China sokoni sasa walau tutapata bidhaa mbadala kutoka EU.
Tunalima korosho,kahawa,pamba nk.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora kunywa juice kutoka ulaya IQ inatengamaa. Kuliko juisi ya mswahili mwenzako ambayo haina vigezo
Huu mkataba ni maumivuMoja kati ya makubaliano ya free trade Agreements ni eliminations tariffs !
Una nini cha ku export kwenda ulaya?Tarrifs ziko za aina nyingi,tarrifs gani unazungumzia?
Tuna vingi vya ku export
View attachment 2119619
View attachment 2119620
View attachment 2119621
View attachment 2119622
"Those who are too smart to engage in politics are punished by being governed by those who are dumber" - PlatoHiyo kansa ya kupata viongozi wabovu tayari imeshamea. Kumbuka wakati wa kumtafuta makamu wa rais, vikao vyote rais huyu anakuwepo. Hamuwezi kumchagua makamu wa rais makini kwa kusema kuuepuka tatizo la kuwa na rais kama huyu. Na kwa mifumo yetu viongozi wetu wengi ni watu wenye uwezo mdogo, lakini ni mahodari wa fitina, majungu na hila. Watu wenye uwezo huwa hawataki uongozi, maana huwa wanaogopa changamoto za kuchafuliwa kwenye uga wa siasa.