GE2025 Rais Samia kulivunja Bunge rasmi Agosti 3, 2025

GE2025 Rais Samia kulivunja Bunge rasmi Agosti 3, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, 2025, ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.

Taarifa hiyo imetolewa leo, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara ya 90(2)(a) ya Katiba ya Tanzania, inayompa Rais mamlaka ya kuvunja Bunge iwapo limemaliza muda wake wa miaka mitano.

Soma pia: Kwa nini Rais ameahirisha shughuli za Bunge badala ya kulivunja kama katiba inavyosema? Kuna tatizo?

SAMMI.jpg


Kuvunjwa kwa Bunge kunakuja katika kipindi ambacho vyama vya siasa nchini vinaendelea na michakato ya ndani ya kuwapata wagombea wa nafasi za ubunge, urais na udiwani.

Imeandikwa na Jenifer Gilla, Dar es Salaam

Source: Nipashe
 
KIVULI KINAISHI
Ni tamthilia iliyoandikwa kwa kutumia dhana ya Giningi. haya ni makazi yaliyo kwenye vichwa vya watanzania. na ambayo yanaogopwa sana na kuhusishwa na vitisho na hadithi kadhaa
GININGI inaongozwa na BI KIREMBWE akisaidiwa na wazee
Kanuni kubwa ya GININGI Ni vitisho na kuwatoa duniani wakosoaji wote na kuwapeleka katika dunia ya SIRI hata kuwaua na kuwafungulia watu mashtaka ya kubambikiza
mtolewa alionesha mapambano ya kifikra na bi kirembwe kilichomkuta ni KESI YA UHAINI
 
Back
Top Bottom