GE2025 Rais Samia kuitetemesha Dunia Kesho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mjinga Mkubwa weeee na KILAZA Mzoefu, Mwisho kabisa na Si Kwa Umuhimu- Wewe Chawa Nuksi na Chawa Pro max
 

Polepole kishamwaga sumu. Kumbe mtadandao ulimuondoa mtangulizi?
 
Utatetemeshwa wewe chawa. Samia atetemeshwe dunia ipi....Hata Kizimkazi haitetemeki. Ujinga huo.
 
Ongezea " Chifu Hangaya"
..........................................................
Usisahau tabia za wabongo tafadhali
 
Umpe na.mbinu ya kuwakwepa wahuni,mhuni mmoja tayari kachukua uranium ambayo tulijua makosa yote hayatarudiwa,wewe xhoko hujui,nadhani wewe msng unatuabisha watu wa Mbeya hatujui kulia lia,huenda umepandikizwa lakini wewe ni wa kizmkazi.
Jitahidi na deni la taifa lipungue sababu huna jipya.
Deni la mchongo linasababisha hata Kafulila anadanganya watu.
 
Wana mtandao ni hatari, wamepenya kwingi Sana..
 
Wewe kaa kwa kulia na subiri siku ya kesho ifike. Wala usianze kupatwa na presha mapema


Yaani apatwe na pressure kwa kitendo cha uchukuaji wa fomu? Pressure watanzania wema walipatwa alipokuwa anawaua wanaomkosoa.

Mungu wetu tunakuomba, kwa mapenzi na hekima yako, utuondolee kwenye ardhi yetu huyu mtu muuaji na mdhulumaji wa haki na rasilimali za Watanganyika. Uovu wake usiendelee kuwatesa watu wako.
 
Basi, Roho ya BWANA ilikuwa imemwacha Sauli, na roho mbaya kutoka kwa BWANA ikamsumbua....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…