GE2025 Rais Samia kuitetemesha Dunia Kesho

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Toeni ujinga hapa jamii forums. Tuko busy kusalia hii nchi na viongozi waliojaa laana.
 
Duuh,mambo hayo huwa hayataki kulazimisha.
Mtakatofu Augustino wa Aquinas aliwahi kusema: "Sauti ya watu wengi ni Sauti ya Mungu"
Mama naona amekataliwa na watu wengi nchini.Maana yake kakataliwa na Mungu.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kesho watu watabubujikwa machozi ya furaha.
 
Mungu amlinde Dkt Samia na Dkt Nchimbi. Tunamtakia uchuaji mwema wa fomu. Tutakuwepo kumpa sapoti. Big up Mama!
 
Huwa napuuza nyuzi zako ila hii nimeona niandike!
Wewe una tatizo kichwani kama sio tumboni!
 
Watu wengine mnapenda kutukanwa..
 
Toka dunia iumbwe hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuitetemesha dunia... otherwise huu uzi ni chai
 
Hiyo Dunia ipi ndugu Lucas, Dunia Iko bize na Vita vya Urusi na Ukraine, na yanayoendelea Gaza, watu wako bize na mambo ya msingi sio haya maigizo yanayoitwa uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…