Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,300
- 25,396
🤣 Atatetemeshwa yeye .Ndugu zangu Watanzania,
Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais Samia.
Vyombo vyote vya Dunia vinakwenda kutekwa na Habari moja tu ,picha Moja tu ya Rais Samia Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Kesho ndio kesho ,kesho ndio siku ya furaha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu ,kiu ,shauku na hamu kubwa sana na mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Kesho ni siku ambayo inakwenda kujiwekea historia yake ambayo itadumu kwa vizazi na vizazi hapa Nchini.
Dunia nzima inakwenda kutekwa na kutawaliwa na habari kuu moja kutoka kwa Jemedari wetu hodari Daktari wa kero za watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan. Msipange kukosa wala kuchelewa kukaa karibu na Tv zenu maana utajutia Maisha yako yote kukosa kuwa sehemu ya historia ya Taifa letu.View attachment 3436162View attachment 3436163
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Polepole kasema anajua waliomuua magu, huenda huyo mama ataitetemesha dunia kwa kukiri nani alimuua.Ndugu zangu Watanzania,

Umesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendaloNonsense
stupid
Mimi siyo Chawa ndugu yanguUchawa ukizidi sana ni tatizo..
Polepole ndio mdudu gani?Polepole kasema anajua waliomuua magu, huenda huyo mama ataitetemesha dunia kwa kukiri nani alimuua.
Mbona wewe hujauwawa na ujinga wako?Na mziki mtaweka kesho alafu kesho kutwa mpo msibani kwa ndugai mnalia tukifurahi sisi mnaotuteka na kutuua mnachukia 🤣
Wewe ndio hujui ulitendaloUmesamehewa bure kabisa maana hujui ulitendalo
Hakuna wa kumtetemesha wala kumtetelesha Rais wetu Mpendwa🤣 Atatetemeshwa yeye .
Na utabubujikwa na Machozi ya Huzuni.
Wewe kaa kwa kulia na subiri siku ya kesho ifike. Wala usianze kupatwa na presha mapemaWakuitetemesha dunia ni Mungu tu.
Punguza uchawa na ujinga. Ujumbe wangu umeeleweka vyemaWewe kaa kwa kulia na subiri siku ya kesho ifike. Wala usianze kupatwa na presha mapema