Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,040
- 2,009
Ndugu zako wakristo tunaohuku mitaani na majumbani kwetu wanakili kuwa uongozi wa waislam huwa raha tupu,lakini uongozi wa wakristo kuanzia Nyerere hadi JPM ni udkteita mtupu ,roho mbaya na kuuana.Acha kukimbia petty issue za wanasiasa wanafiki! Mbona watu miaka yote wanakufa! Akina Dr Ulimboka,Mwandishi Mwangosi ,Askofu mstaafu wa Agalikani Mwanza,mauaji vituo vya polisi nk!
Nyinyi kinachowaponza ni unafiki na udini wenu akiwepo Mwislam hamkosoi kama Ndugu yako Zitto!
Huyo ni chawa! Na hao machawa walishakuwa kama mataahira kwanza hawezi kusoma thread zima na kuelewa akisoma title asharuka na comment!Ongea point shusha facts wewe unashushia mtusi tu inakusaidia nini?
Mwanhabari Mwangosi ,Dr Mvungi ,Chacha wangle,Mauji vituo vya polisi kama kule chato, Mauji ya mchimbaji madini kule kusini na kupotea kwa vijana hapo kariakoo ulikuwa utawala wa Wakristo?Ndugu zako wakristo tunaohuku mitaani na majumbani kwetu wanakili kuwa uongozi wa waislam huwa raha tupu,lakini uongozi wa wakristo kuanzia Nyerere hadi JPM ni udkteita mtupu ,roho mbaya na kuuana.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kwani kwenye hii ripoti ya CAG ya 2021/2022 kuna pesa nyingi zilizopigwa zaidi ya zile Trillion 1.5 alizoibua Prof Assad enzi za mwendazake?Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Vile vimbwa umevipeleka wapi?Unajua ukipata nafasi yakula embe kula ukipata nafasi yakula pesa kula Kwa mf.asijizolee hela Kisa wewe ninani kwani Nyerere alijipatia faida gani kuwa fadhili nyie vidudu watu mnafaida gani .
Mama rais ukipata nafasi feka hela zote , chukua kila kinachoweza kuchukulika mwingine atakazilishia .
Good day ...
Msituchoshe , hujaupiga mwingi umezubaa ndio mnatusumbua eti huyu mama Huna adabu mama mama kaite ndugu zako uko kijijini bwana eh hapa ni kazi tu na ndio inafanyika
Wewe hata hujulikani unaongea nini? Kichwa chako kimevurugwa! Tuliza ubongo!Unajua ukipata nafasi yakula embe kula ukipata nafasi yakula pesa kula Kwa mf.asijizolee hela Kisa wewe ninani kwani Nyerere alijipatia faida gani kuwa fadhili nyie vidudu watu mnafaida gani .
Mama rais ukipata nafasi feka hela zote , chukua kila kinachoweza kuchukulika mwingine atakazilishia .
Good day ...
Msituchoshe , hujaupiga mwingi umezubaa ndio mnatusumbua eti huyu mama Huna adabu mama mama kaite ndugu zako uko kijijini bwana eh hapa ni kazi tu na ndio inafanyika
Wewe ndio umezindikiwa unafikiWewe hata hujulikani unaongea nini? Kichwa chako kimevurugwa! Tuliza ubongo!
Wengi tunajiuliza hiloHuwaga najiuliza hivi ni kwanini tanzania watu wenye uwezo mdogo wakufikiri huwaga wanapewa cheo kikubwa ?
Kwa hiyo unashangilia watu kula pesa za wananchi sio?Wewe ndio umezindikiwa unafiki
Yes, kwani wao sio wananchiKwa hiyo unashangilia watu kula pesa za wananchi sio?
Ni sawa na mtoto kupewa kifaru chakivita yani kufumba na kufumbua akiamua kunakuwa kwepeWengi tunajiuliza hilo
Yuko kikatiba uchaguzi rasmi ni 2025 watanzania wataamua if Wana Akili ama nchi "Ina watu wajinga sana"Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Akupishe aende wapi? Najua tunatofautiana Schools of Thought lakini, hebu tujiulize kidogo; hivi ni nani karuhusu ukaguzi huru wa CAG kama si Mhe. Rais? Je, Mhe. Rais angeamua kumwelekeza CAG ya kuandika na mengine ayaache sisi raia wa kawaida tungejuaje? Tatu, kama ni Mhe. Rais karuhusu uwazi katika uongozi why tunatiliashaka jambo alilolibariki mchakato wake?Tusichoshane!
Since hakuna aliyepisha tangu kauli ya yule mama kuwa walioiba mboga jikoni wasepe.
Siyo siri tena wewe mama ndo utupishe, naamini huwa unapita hapa JF na unasoma baadhi ya nyuzi humu ndani, am confident that utakuna na huu uzi wangu mfupi ila wenye ujumbe mzito
“Mama Tupishe”
Na kama ukikataa kuondoka tambua kuwa heshima yako itapotea na utaandika historia kuwa; kiongozi wa kwanza kuachiwa nchi wa jinsia nyingine na wizi mkubwa kuwahi kutokea tangu misingi ya kuumbwa kwa DANGANYIKA KANTRI!!
Nshomile
UALIMU NI BARAKA, TUUKUBALI NA KUUTHAMINI
Tumpe muda hadi kwenye ballotMama Tupishe