Ulitaka asafiri na Watoto wako?Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.
Elimu ndogo plus kutokujiandaa kupokea kijitiYani hapa tumepigwa vilivyo aisee
Waachaeni wafaidi keki ya Taifa kutesa kwa zamu banaKweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.
Si mlimwita Magufuli ni mshamba na hakupenda kusafiri kwa sababu ya ushamba wake, leo hii kaja asiye mshamba anazurula duniani kote kijitangaza kuwa sio mshamba tayari mshakerwa.Wakibu wa kusafiri mpaka na watoto ziarani, na kusafiri ni mawaziri zaidi ya 9, na wachekeshaji, machawa, waigizaji na waandishi wa habari karibu TV zote kubwa za Tanzania
Mama Abdul huyo tutamjua taratibu…Kweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.
Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.
View attachment 2778055
=====
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.
Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.
Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
JiueKweli Magufuli aenziwe Daima, "Nchi hii ilichezewa sana" in Magufuli's mara gafla imeanza kuchezewa.
Sasa mama Samia kusafiri na Mawaziri Buku, Waandishi Buku, Wanasiasa buku, wachekeshaji jero na wasanii jero haijatosha kumbe kasafiri hadi na watoto wake. Yani mpaka familia yake inaenda kwenye ziara.
=====
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema asingekuwa Rais wa Tanzania kama si juhudi za wazazi wake pamoja na uvumilivu wa familia yake, ambao walikuwa tayari kumuunga mkono kwenye kila hatua aliyokuwa anapiga.
Rais Samia pia ameishukuru familia yake, akiwemo mwanaye Abdul ambapo ameeleza kwamba wakati mwingine alikuwa akiwaasha wanaye kwa muda mrefu ili kufukuzia ndoto zake za kielimu na kisiasa.
Ameyasema hayo nchini India na kumsimamisha mwanaye Abdul ambaye alipigiwa makofi mengi katika ukumbi wa mikutano.
Jjiwwe alikuwa sshetanElimu ndogo plus kutokujiandaa kupokea kijiti
Waandishi kama wote wako ziarani wanakula shushi tu, hao wachekeshaji ni kina nani hao? Sasa hao waandishi ukiacha kuripoti kwenye media zao kuna cha kujifunza huko india?Wakibu wa kusafiri mpaka na watoto ziarani, na kusafiri ni mawaziri zaidi ya 9, na wachekeshaji, machawa, waigizaji na waandishi wa habari karibu TV zote kubwa za Tanzania