Rais Samia karibu Singida

Rais Samia karibu Singida

Wanyiramba ukimtoa Lissu wengine wote ni wavivu haswa, kuna mwekezaji mwaka jana alikuwa analalamika anatoa wafanyakazi Mwanza na Shinyanga wanyiramba akilipwa harudi anaenda kuoa na kunywa pombe za kienyeji ndiyo type ya Suphian kujipendekeza apate uteuzi

Nani alikwambia Lissu ni mnyiramba?
 
KARIBU SINGIDA "IYUU" SAMIA.

Rais Dkt Samia ana ziara ya siku 3 Mkoa niliyozaliwa wa Singida. Hii ni ziara yake ya kwanza Singida tangu awe Rais ambapo pamoja na mambo mengine ataadhimisha BIRTHDAY ya Mkoa wetu wa Singida kwa kufikisha miaka 60 tangu uundwe Octoba 15, 1963.

RATIBA:

Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba, Mhe. Rais Samia atakuwa na ratiba katika Mkoa wa Singida kama ifuatavyo;

15/10/2023:











16/10/2023





17/10/2023





Kama Mzaliwa wa Singida nina furaha mno kuwakaribisha watanzania kutoka pande zote nchini tukamlaki RAIS wetu mkoani Singida ambaye kwa muda mfupi amefanya Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo mkoani Singida na Taifa kwa ujumla. Na ndio maana Singida ndio Mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito kwa Rais Dkt Samia, na CCM.

Karibu "Iyu winthu" Samia.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KAZI IENDELEE
SINGIDA GUNTOO!!

Suphian Juma Nkuwi
Kada - CCM
Mzaliwa wa Singidap
Simu: 0717027973
Octoba 13, 2023View attachment 2780858View attachment 2780859
thawa thufiani juma nkuwi,
humeheledhea vichuri, humeheleweka vidhulii, nimekuhelewa thana.
Achante chana
 
Kama Mzaliwa wa Singida nina furaha mno kuwakaribisha watanzania kutoka pande zote nchini mkoani Singida na Taifa kwa ujumla. Na ndio maana Singida ndio Mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito
Karibu "Iyu winthu"

Suphian Juma Nkuwi
Kada - CCM
Mzaliwa wa Singidap
Simu: 0717027973
Mkuu Suphian Juma , nakuunga mkono hoja, mkoa wa Singida ndio mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito... kiukweli Singida sio mchezo!, sema tuu watu hawajui!, kwa Singida, hata wale 'waja leo, warudi leo', watasubiri!, hata yale 'maharage ya Mbeya' ya maji mara moja, kwa Singida ni maji mara sifuri..., ni ukigusa tuu...!.

Singida Oyee!.

P
 
Ah ah Mkuu sio wavivu bali wanalidhika mapema Yani mtu anaweza kwenda kibaruani Kisha akipata 10k apo kesho umuoni lakini nyuma yake watoto kama kumi ivi wanamuangalia kazi kuwatuma mchana jua Kali kutafuta zile nyanya poli kwenye mashamba ya watu na kuchuma mlenda (limbe) kwenye vumbi
Wanamboga zao zile nsansa,mzabaguro,ntariyanda🤣🤣🤣
 
Kwenye hiyo araundi abauti waweke na kitunguu, mazao makubwa Singida ni Alizeti, Kuku wa kienyeji na Vitunguu.
 
Ninashauri akifika singida Akimaliza ziara yake mkoani Singida atembelee Mkoa wa Mbeya Kwa kupitiaa Manyoni- Itigi - Ikumbu ~ Kiombo ~ Itumba ~ RUNGWA- Kambi katoto ~ Lupa tingatinga- Makongorosi- Chunya - Mbeya.

Akiweza kupitia barabara hii na akafanikiwa kufika Mbeya mjini Nitajitajiunga CCM na mwaka 2025 nitampa Samia Kura yangu na wananchi wote wa eneo atakalolipitia.

Hakuna Kiongozi wa Juu serikali ya Tanzania aliyewahi kutembelea au kufanya ziara RUNGWA Tangu tupate uhuru.
 
KARIBU SINGIDA "IYUU" SAMIA.

Rais Dkt Samia ana ziara ya siku 3 Mkoa niliyozaliwa wa Singida. Hii ni ziara yake ya kwanza Singida tangu awe Rais ambapo pamoja na mambo mengine ataadhimisha BIRTHDAY ya Mkoa wetu wa Singida kwa kufikisha miaka 60 tangu uundwe Octoba 15, 1963.

RATIBA:

Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba, Mhe. Rais Samia atakuwa na ratiba katika Mkoa wa Singida kama ifuatavyo;

15/10/2023:











16/10/2023





17/10/2023





Kama Mzaliwa wa Singida nina furaha mno kuwakaribisha watanzania kutoka pande zote nchini tukamlaki RAIS wetu mkoani Singida ambaye kwa muda mfupi amefanya Mapinduzi makubwa ya kimaendeleo mkoani Singida na Taifa kwa ujumla. Na ndio maana Singida ndio Mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito kwa Rais Dkt Samia, na CCM.

Karibu "Iyu winthu" Samia.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
KAZI IENDELEE
SINGIDA GUNTOO!!

Suphian Juma Nkuwi
Kada - CCM
Mzaliwa wa Singidap
Simu: 0717027973
Octoba 13, 2023View attachment 2780858View attachment 2780859
Ninashauri akifika singida Akimaliza ziara yake mkoani Singida atembelee Mkoa wa Mbeya Kwa kupitiaa Manyoni- Itigi - Ikumbu ~ Kiombo ~ Itumba ~ RUNGWA- Kambi katoto ~ Lupa tingatinga- Makongorosi- Chunya - Mbeya.

Akiweza kupitia barabara hii na akafanikiwa kufika Mbeya mjini Nitajitajiunga CCM na mwaka 2025 nitampa Samia Kura yangu na wananchi wote wa eneo atakalolipitia.

Hakuna Kiongozi wa Juu serikali ya Tanzania aliyewahi kutembelea au kufanya ziara RUNGWA.
 
Mkuu Suphian Juma , nakuunga mkono hoja, mkoa wa Singida ndio mkoa unaoongoza nchini kwa kuwa na mahaba mazito... kiukweli Singida sio mchezo!, sema tuu watu hawajui!, kwa Singida, hata wale 'waja leo, warudi leo', watasubiri!, hata yale 'maharage ya Mbeya' ya maji mara moja, kwa Singida ni maji mara sifuri..., ni ukigusa tuu...!.

Singida Oyee!.

P
Duh

Ova
 
Back
Top Bottom