Rais Samia kaenda US na Air Tanzania? Msafara una Watu wangapi?

Tumezoea kuonyeshwa mama anapotua airport mbalimbali akiwa na msafara wake. Hii safari ya Marekani hatujaonyeshwa akiondoka wala akitua Marekani?...
Tangu zama za viongozi wa hovyo na mafisadi kama Kikwete, msafara wa rais uligeuzwa siri kutokana na kujaa watu wasio na ulazima kama wana familia, hawara zao hata waganga wao wa kienyeji. Kikwete ndiye alidumisha uhuni huu ambao unaanza kuzoeleka. Ni dalili za uhovyo wa serikali husika.
 
Tumezoea kuonyeshwa mama anapotua airport mbalimbali akiwa na msafara wake. Hii safari ya Marekani hatujaonyeshwa akiondoka wala akitua Marekani?...
Gerson Msigwa akijaribu kukuelezea idadi ya wazururaji waliokwenda states na mama yao

20210919_203921.jpg
 
Tangu zama za viongozi wa hovyo na mafisadi kama Kikwete, msafara wa rais uligeuzwa siri kutokana na kujaa watu wasio na ulazima kama wana familia, hawara zao hata waganga wao wa kienyeji. Kikwete ndiye alidumisha uhuni huu ambao unaanza kuzoeleka. Ni dalili za uhovyo wa serikali husika.
Kuna majitu ya hovyo huwa yanamuona Jk kama mwokozi hivi
 
Hamnaga hiyo kitu. Tena kwa level za rais ana report kwa nani wkt yy ndio boss?
kwanza sio lazima
Kwa rais mwajibivu hili lazima kwani hiyo pesa anayotumia si yake bali ya wananchi. Kama umezaliwa jana huwezi kulijua hili. Wakati wa awamu ya kwanza ilikuwa lazima kutoa orodha watu walioandamana na kiongozi wa nchi hata awamu ya tatu. Hata hivyo, walipokuja wahuni, wazinzi na wazuraraji mambo yakabadilika. Kama hakuna namna wanaficha nini? Pesa wanayotumia inatoka hazina na siyo mifukoni mwao wala mahawara zao
 
Na huu uchifu aliopewa juzi itakuwa amepeperuka na upepo wa kisulisuli akiwa amekwea beseni akikatiza anga baada ya anga
 
Back
Top Bottom