Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
She is the one who initiated the process....Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
Naona afadhali aachwe tu, hana kifua cha kustahimili upinzani, na kwasababu mamlaka yote yako kwake na alishasema "ukimzingua mtazinguana" bila kujali kama "unamzingua" kwa kufuata sheria, ila yeye kwa mtazamo wake akiona unamzingua anakunyoosha.
Simple, ni isssue ya kumuita DPP na kumpa mawazo yake na ambavyo angelipenda hili la Mbowe liishe maana kuna ushahidi usio na ubishi kuwa amesingiziwa . Ana dictate kuwa futa hii..... wakiwa wawili na huyu anatekelezaKwa katiba tulimo mhimili wake umejichimbia zaidi.
Hashindwi kuwakutanisha DPP na AG informally (au kwa niaba yake) kuona namna iliyo bora zaidi ya kutoka kwenye jumba bovu hilo la hiyo kesi.
She is the one who initiated the process....
Simple ni isssue ya kumuita DPP na kumpa mawzo yake na ambavyo angelipenda hili la Mbowe liishe maana kuna ushahidi usio na ubishi kuwa amesingiziwa . Ana dictate kuwa futa hii..... wakiwa wawili na huyu anatekeleza
Kama binadamu ni muhimu kukumbuka ulikotoka, kuelewa ulipo na kujua unakokwenda.
View attachment 2033861
Kwamba ni sasa ndiyo anaangushiwa Jumba bovu? Mbona bado?
Asipoangalia mbona hata la Mbowe nalo atangushiwa yeye?
Bora angejikita (japo kwa kuchelewa) kwenye haki na maridhiano kuurejesha uungwaji mkono uliopotea.
Legacy ya kuiachia hii nchi Katiba mpya ingempa heshima kubwa zaidi kuliko hata ya urais 2025 anaoonekana kuutaka mno.
-----------
Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1
Kwa sababu ameonyesha interest katika kesi hii baada ya kulishwa uongo, hawa si rahisi on their own initiative kuifuta, she has to set the process in motionHata asipotokea yeye in person AG anaweza kutokea kwa niaba wakayamaliza na DPP.
Suala zima anapaswa kujua siasa ni mchezo mchafu na kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya mchezo huo.
mbona mnaingilia mambo ya mbowe acheni mahakama iamue chaga chadema mbona mnakiherehere mbowe mbowe wwlikamatwa mashekh walikaa miaka 8 na hakuna mtu wa kutetea huyu nabii yupo miezi tu kelele nyingi
Mbowe issue yake ipo mahakamani ,kama hana hatia ataachiwa,msimlazimishe rais Samia kuingilia Uhuru wa Mahakama.Swala la Mbowe ni la muhimili wa mahakama!
the the jumba bovu has to befall on her!She may had been pushed to initiate it ...
Kumbe ana wewe ni Rubbish! such a poor resoning! sasa analalamika nin na jumba bovu? Likiangika na la Mbowe you will not be there!mbona mnaingilia mambo ya mbowe acheni mahakama iamue chaga chadema mbona mnakiherehere mbowe mbowe wwlikamatwa mashekh walikaa miaka 8 na hakuna mtu wa kutetea huyu nabii yupo miezi tu kelele nyingi
Mawazo ya kijinga sana haya,nchi ikiendeshwa namna hiyo ujue hakuna serikali hapo .Kwa katiba tulimo mhimili wake umejichimbia zaidi.
Hashindwi kuwakutanisha DPP na AG informally (au kwa niaba yake) kuona namna iliyo bora zaidi ya kutoka kwenye jumba bovu hilo la hiyo kesi.
Sukuma gang walitaka awe na speed angalau nusu ya Magufuli tujana niliyafeel maumivu ya rais samia japo sikumkubali, kuna kitu hajakijua hilo kundi linalomuunga wanamchezesha mchezo wa kisiasa ili awaone sukuma gang ni maadui zake wao wanufaike kisiasa, mama anapaswa kua makini sana na kundi linalomuunga mkono kuliko hata sukuma gang.