Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

Mtoa mada ni Gwajima mwenyewe!!
Gwajima hii nchi siyo ya ukoo wako,hii ni nchi yetu sote,kila mmoja ana haki ya kuwa kiongozi Cha msingi akidhi vigezo!!

Siku katiba inabadilishwa Basi mi ntapendekeza mtu yoyote anayeutaka ubunge walau awe na degree moja!

Yanayoendelea bungeni yanachefua moyo!
Wabunge wanaacha kujadili mustakabali wa taifa wanamjadili MAREHEMU!!
 
Upumbavu mtupu. Zero kabisa wewe.
 
Mtoa mada ni Gwajima mwenyewe!!
Gwajima hii nchi siyo ya ukoo wako,hii ni nchi yetu sote,kila mmoja ana haki ya kuwa kiongozi Cha msingi akidhi vigezo!!

Siku katiba inabadilishwa Basi mi ntapendekeza mtu yoyote anayeutaka ubunge walau awe na degree moja!

Yanayoendelea bungeni yanachefua moyo!
Wabunge wanaacha kujadili mustakabali wa taifa wanamjadili MAREHEMU!!wanatumia muda mwingi kujadili legacy za MAGUFULI wakati hizi ni zama mpya.

WAZIRI MKUU,KASSIM MAJALIWA,ungempisha Mama kwa ustaarabu ili Mama awe na AMANI anapofanya maamuzi.
 
Nyie wasukuma mmechanganyikiwa sana! Umeandika upupu mtupu.
 
Nyie wasukuma mmechanganyikiwa sana! Umeandika upupu mtupu.
Hapana mkuu wasukuma ni watu wataratibu na wapole mno, sema kabila letu lilivamiwa na banyamurenge, hawa wamezaliwa usukumani lakini kiasili ni watu wa Rwanda na Burundi.
 
Mtawasingizia bure Nnape na Makamba Mama nyoka anao na amelala nao Hana habari. Inavyoonyesha hii nafasi imegombewa na wengi,kuna Wana CCM hawaamini Mama Samia kawa Rais.
 
Wasukuma bhana


Eti fuata hotuba ya josephat gwajima
 
Nilichogundua kuna akili ndogo zinamwogopa January, January ni smart na anauwezo mkubwa wa kushawishi na kujenga hoja. Ni Tunu kwa Taifa kuwa na mtu kama January. January ni hazina ya Taifa. Kama kuna mtu hakumuelewa katika mchango wake Bungeni, Mtu huyo apimwe akili.
 
Acha ukabila. Huu Utagawa taifa letu.

Andika point.
Wasukuma sio watu wa kuwapa nchi tena, yaani wamepewa miaka mitano tu wamesha aminishana kwamba nchi hii ni yao washenzi kabisa afadhari kinara wao aliye walisha ujinga izraeli kaamua kumtwaa mapema kabla ya kusababisha majanga makubwa zaid ya haya aliyo yaacha.
 
mbna umawapangia watu cha kuzungumza???ucwe ngchiro weeeeeeee
 
Acha ukabila. Huu Utagawa taifa letu.

Andika point.
Mbona Mwendazake alipokua analigawa Taifa hukukemea? Nyufa alizoziacha zitakawia sana kuziba. Kaligawa Taifa kama Taifa, pia kakigawa hadi chama chake CCM. Huko bungeni wabunge wa bunge la CCM, wanaparuana balaaa. Hiyo ndiyo mbegu aliyoipanda JPM sasa inaota.
 
Hauna uthibitisho kwenye hili ila propaganda tu ndizo zina kufanya uandike haya.
 
Huu utakuwa wivu kwa wasukuma. Na walivyo wengi utapasuka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…