mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,316
Ndiyo maana nakwambia sheria ifatwe kwa yeyote awaye, kama unaamua kuwa mnyonge ukijua sheria itapindishwa ukajenge kibanda cha kuuza maji sehemu yeyote litakuja kukuumiza hilo. Usipotumia akili utatapeliwa kama mlivyotapeliwa na Jiwe, akifa utarudi kulia tena humu. Chukia umasikini zaidi hata ya CCM utafika mbali.
sheria ikifatwa vyema mtaumia wengi,ila mmapata ashki sababu wanaoguswa ni wafuasi wa jiwe awamu hii,kwa vile tunaelewa kinachowapa orgasm hatuna wasi wasi na hilo,muda wa kilio na yowe wala hauko mbali tena.