Rais Samia: Hayati Magufuli ndiyo aliuwasha moto kwenye madini

Eti anawataka wanaotorosha madini waache mara moja😆🤦🏾‍♂️

Ni sawa na kuwataka majambazi waache ujambazi mara moja kwasababu umeshindwa kuwakamata!

Kuhusu kumtaja mwendazake, hizo ni politics zake za kuogopa kundi la wale walokuwa wakimuumga mkono mwendazake.
No one can say it better than this! Bi Mikopo anadhani Watanzania wangali wajinga kiasi hicho!
 
Eti anawataka wanaotorosha madini waache mara moja😆🤦🏾‍♂️

Ni sawa na kuwataka majambazi waache ujambazi mara moja kwasababu umeshindwa kuwakamata!

Kuhusu kumtaja mwendazake, hizo ni politics zake za kuogopa kundi la wale walokuwa wakimuumga mkono mwendazake.
Mwendazake mwenyewe alikuwa anatuibia madini. Nakukumbusha tu kisa cha kuingia gereza la Butimba. Zile dhahabu zilizokamatwa zikitoroshwa halafu ikamlazimu Magufuli aingie Gereza la Butimba kuwatoa wale Askari zilikuwa za Kagame na yeye mwenyewe
 
Duh!.
 
Back
Top Bottom