Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Hagombei
photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
 
Mh. Samia ni msikivu sana tena sana na huo ndiyo udhaifu wake wakati fulani.

Wasaidizi wake ngazi za chini wamemuangusha mno.

Uzembe kazini na ufisadi vimekuwa vitu vya kawaida. Vimerasimishwa hadharani kwa matendo na maneno.
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Anae tufaa ni nani
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Atagombea na kushinda. Hakuna aliposhindwa
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Hilo ni lako binafsi
Nchi inaongozaa na familia ya

1. JK

2. Mwinyi

3. Saa100

4. Mhagama

5. Makamba

6. Nape

7. Kinana

Hii ndio CCM! Wengine wote walio Baki ni wachumia tumbo.

WANAKOTUPELEKA WAO NDIO WANAOJUA.
Hilo ni lako binafsi
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Kumbe wakati mwingine una akili.
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Hata ukimkataa police wapo. TISS Wapo wewe ni nani ?????
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Mbona hueleweki! Yaani 2025 hana vigezo vya kugombea lakini unasema 2030 anaweza kugombea. Tafuta sababu za ukweli tofauti na chuki binafsi.
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.

Unamkataa kwa njia gani wakati ww ni mshabiki wa chaguzi zinazonajisiwa? Kama unafurahia chaguzi kuporwa kisa aliyeko madarakani unamkubali bila kujali uhalali wa ushindi wake, basi atakaa madarakani kiongozi yoyote bila kujali kukubalika kwake kwa wananchi.
 
Daaah nakosa neno sahihi. Kwa ufupi ASEPE ZAKE TU. Inatosha miezi 6 hakuna umeme na sukari kilo moja 4500.
 
Atagombeaa na atapita kwa kishindoo kikuu huku wewe na michuki yako binafsi ukishuhudia Mheshimiwa Rais wetu akiapishwa kuliongoza Taifa letu kwa awamu ya pili.

Ni kweli atagombea ili aendelee kuchota kutoka huku Tanganyika kwenye nchi ya wapumbavu na kuendelea kuneemesha kwao Zanzibar. Kisha baada ya kupora kutoka kwetu wazanzibar watadai kujitenga na kutuachai deni la kulipa. Tanganyika inabaki ni nchi ya wajinga.
 
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.

Hana sifa.

Hana uwezo.

Ni mbaguzi.

Hatufai.

Akigombea 2025.

Hakuna wa kumkataza 2030.

Tumkatae na mambo yake yote.
Watu wezi, fisadi, wachawi, wazembe, Wala rushwa, wananchi wajinga ambao hawaelewi inchi inavyoenda na wote wasio wazalendo na inchi yetu wanampenda bibi aendelee, lakini ukweli ni kwamba mama Hana uwezo wa kuongoza
 
Walimu na bodaboda wanachangishana fedha kumchukulia fomu mbona hajakataa.

Hizi hela za waalimu ni timu ya chawa wake wanatoa ili kumbrand kwa ajili uchaguzi wa wizi wa 2025. Kwahiyo hawezi kukataa maana ni plan yake.
 
Mi naona Samia kabalance maana sidhani kama watampa Majaliwa ambaye kwangu naona kama anafit ila hawawezi mpitisha, Mwingine ni Mwinyi ila anaonekana kama vile wasaidizi watamuendesha sana sababu ya upole tofauti na hapo sioni mtu wa kuuongoza Tz kwa sasa...hayupo na sio kwamba namuelewa Samia no ila ukweli ndio huu
Vipi Mpina, Lukuvi.
 
Nimeshtuka sana kusikia huyu Jamaa anampinga Samia na ni CCM lia lia
 
Back
Top Bottom