#COVID19 Rais Samia: Corona isiwe tena kigezo cha miradi kuchelewa, tumeshizoea

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,033
9,923
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa muda mrefu kumekuwa na changamoto ya miradi kuchelewa, ambapo hivi karibuni kisingizio kimekuwa ni janga la COVID19

Amesema hayo baada ya kuzindua gati namba 0 hadi 7 katika Bandari ya Dar es Salaam. Ameeleza, kwa sasa COVID-19 tumeshaizoea hivyo ni muhimu kujifunza kuishi nayo isiwe tena kigezo cha miradi kuchelewa

CDC968A0-C5C7-44A6-9450-BD4F040EA44A.jpeg
A5EB05FF-7BD2-4080-B432-FCF908995F8D.jpeg
6C892BA0-6661-4A08-9682-4C80FF1C2B7D.jpeg
 
Yaani yeye ndio kazoea leo? Duuu, baada ya kupiga Trillion 2 za mkopo wa chanjo ndio wanaizoea, aisee, wakati huo watoto na wajukuu zetu tumewabebesha deni kubwa lisilo la lazima, tuwaoneeni huruma watoto na wajukuu zetu jamani, hivi nyie watu hamna huruma hata chembe?!
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa muda mrefu kumekuwa na changamoto ya miradi kuchelewa, ambapo hivi karibuni kisingizio kimekuwa ni janga la COVID19

Amesema hayo baada ya kuzindua gati namba 0 hadi 7 katika Bandari ya Dar es Salaam. Ameeleza, kwa sasa COVID-19 tumeshaizoea hivyo ni muhimu kujifunza kuishi nayo isiwe tena kigezo cha miradi kuchelewa

Dunia inahaha na Omicron yeye kaizowea:

#COVID19 - Tahadhari ya Kirusi kipya kutokea Afrika Kusini

Wengine wanafunga usafiri na SA. Yeye kazowea.

Hata kina Kingai, Sabaya na Makonda atakuwa amewazoea. Hakuna jipya ndiyo maana hatujifunzi.
 
Kusimamia hawez
Maneno tu pekeake hayawez leta any effect
Katka nchi kama hii kiongoz unatakiwa utumie ile principle ya management by walking around
Mbali na hapo maneno yako ni kama ngonjera tu
 
Hongera sana, mama, kwa kuyaona yasiyooneka kwa macho ya mwili.
 
Back
Top Bottom