Rais Samia awabadili Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Diwani Athuman na Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Kattanga

Mmgh kivipi braza? Maana hapo Katanga kiutendaji anakuwa chini ya Kusiruka, sasa inakuwaje hapo?

Kutoka kuwa Mkuu wa Utumishi wa Umma nchini wakiwemo hao Mabalozi afu uwe Balozi then iwe heavy promotion?

Labda kwakuwa anaenda New York!

Mishahara ya Mabalozi huwa inalipwa kulingana na Uchumi wa nchi husika.....hapo naweza kukuelewa kwa mbali!
 
Sifa na dharau na wizi alioufanya akiwa mahakama zimemponza
Yamekuwa hayo tena?.

Mbona hata Samia mwenyewe anazichota tu pale Ikulu.

Sema kuna mafaili tu hayasogei pale, mama anatakuwa hayatoi kwa sababu pengine yanagusa watu wake na ndio maana Sasa jamaa anaondolewa ili wabaki wenyewe.
 
Hapo umenena kweli. Ni semantics tu. Wote hao ni wateule wa Rais katika ngazi za juu kabisa. Balozi hata kama yuko chini ya Wizara ya Mambo ya Nje ni mwakilishi wa Rais kwenye nchi husika kama vile Mkuu wa Mkoa ambavyo yuko chini ya Wizara ya Tamisemi lakini ni mteule na mwakilishi wa Rais kama alivyo waziri wake. Na Katibu Mkuu yo yote pia ni nafasi ya utendaji ya juu katika Wizara husika na ana nafasi katika uendeshaji wa Serikali kitaifa kupitia vikao husika. Ni semantics tu na mpangilio wa utawala. Nawatakia wote utendaji mwema.
Mkuu... yaani umenena vyema kabisa... ahsante sana kwa ufafanuzi wako.
 
Baada ya miaka mitatu na miezi mitatu na siku 21 hatimae Diwani Athumani Msuya ameondolewa TISS kama Boss.

Tutakumbuka katika uongozi wako jinsi haki za raia zilivyokandamizwa huku ukitumia the so called "Kikosi Maalum" kuteka na kupoteza watu.

Haya uondoe na dawa zako za mitishamba pale ofisini kwako
duhhh
 
Very sensitive positions, hao wausika majukumu yao zaidi ni beyond the scene despite being the backbone of the nation… naogopa sana mimi..
 
Sasa mkuu paka si wapo tu wakiamua kupiga kelele wanapiga tu huku kwetu wanatusumbua zaidi usiku wakianza tu tunatafuta mijiwe tunawapopoa tu
Mkuu wawe wanahakikisha wapo mbali na Mahali hotuba inapotolewa ili tusihamishwe kutoka kwenye Ujumbe Mahsusi.
 
Habari zenu Taifa la Mungu?

Leo wakati Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Dr. Samia Suluhu Hassan) akihutubia viongozi wa vyama vya Siasa na Watu mbalimbali kuna wakati ilisikika sauti ya Paka wakilia.

Sauti hizi zilisikika wakati Mh. Raisi alipokuwa akitaja mabadiliko aliyoyafanya kwa nafasi mbalimbali ili kuboresha ufanisi wa Serikali.

Binafsi sauti zile zilipunguza kwa Kiasi umakini wangu kwa kusikiliza sauti za Paka badala ya Ujumbe wa Mh. Raisi hali iliyonifanya kurudia kusikiliza Ujumbe wake kwenye Mitandao na vyombo mbalimbali vya habari.


Maswali yangu.

1. Nani aliwaruhusu Paka wale wakae karibu na Mahali ambapo Mh. Raisi alikuwa akitoa hotuba, Kiasi Cha kutufanya baadhi ya Watu kupoteza Concentration kwenye kile ambacho Mh. Raisi alikuwa akikiwakilisha?

2. Nani aliwachokoza Paka wale hadi wakapiga kelele na sisi Wananchi kusikia?



ANGALIZO
Mh. Raisi anapokuwa anatoa hotuba basi tuhakikishe mazingira husika ni rafiki (conducive environment) ili Wananchi tupate kwa ufasaha Ujumbe tunaoletewa na siyo kutuharibia concentration zetu kwa vitu vya kizembe.


Nawasilisha.
Ulinzi unaoonekana na usioonekana.

Choose one
 
Ndio mara yk ya kwanza mkuu kusikiaa sauti ya pakaa??? ,mpk uje ushangaee akiliaa wkt rais anahutubiaa
Kwa Eneo kama Ikulu sijawahi kusikia Mkuu Edon 666.

Niseme ukweli, hii ni mara ya kwanza.

Ingelikuwa nje ya Ikulu nisingeshangaa.
 
Eheh mambo tiss mada pendwa jf hapa,ngoja wengine tuwe wasomaji

Ova
 
Back
Top Bottom