Rais Samia atua Dodoma akitokea DSM

Bi mkubwa tangu ale kile kiapo kikubwa kabisa anatinga viwalo vikali kweli kweli...
 
Hizi blah blah ndio zinakuchelewesha, haya mengine yaishie humu kwenye jukwaa la siasa. Mimi naafanya biashara 3, na bado mambo yanaenda tu
 
Makao makuu ya nchi! Ndipo ilipo ofisi yake!
... hivi huyu mheshimiwa home kwake ni Zenji sehemu gani? I mean her official domicile; her permanent home kama ilivyokuwa Chato kwa mheshimiwa aliyetangulia.
 
Hizi blah blah ndio zinakuchelewesha, haya mengine yaishie humu kwenye jukwaa la siasa. Mimi naafanya biashara 3, na bado mambo yanaenda tu

Nimesema sijizungumzii mimi ,nazungumza kwa hali halisi ya mtaani ,wewe kupata pesa au mimi kupata pesa haimaanishi kwamba mzunguko wa pesa ni mzuri ,ndio maana nikasema wewe kupata pesa possible wanaokuunga mkono walikuwa kwenye channel ya MEKO ya upigaji.

Mimi nazungumzia mzunguko wa pesa na wewe unazungumzia kufanya biashara,mama SSH kasema mwenyewe kwamba hela mtaani hakuna ,yeye ana taarifa zote wewe unakuja huku na kuunza kuleta porojo zako.
 
Hilo baadhi yetu tumelipigia kelele toka enzi za JK..

..kweli.

..huu utaratibu ulikuwa unakera sana wakati wa JK.

..naona umerudi tena wakati wa Rais Samia Hassan.

NB:

..pia wapunguze idadi ya viongozi wanaohudhuria shughuli za kuapisha wateuliwa wapya.
 
Mmesahau ombi la Mabeyo? Kuna kamisheni za kutunuku

Sidhani kama atapangua maDC na maRC
 
Hizi blah blah ndio zinakuchelewesha, haya mengine yaishie humu kwenye jukwaa la siasa. Mimi naafanya biashara 3, na bado mambo yanaenda tu
Biashara zimeathirika sana esp kipindi cha covid. Una bahati sana mambo kwako yameendelea kwenda tu. Mshukuru sana MUNGU.
 
Mkuu maskini wapo wengi miaka na miaka, ni uongo kusema kipindi Cha jk pesa ilikuwepo wakati maskini walikuwa bado wengi Sana. Umaskini inatoka kwa kufanya kazi kwa bidii, hata aongozs malaika Kama hufanyi kazi kwa ubora na bidii hutakuwa tajiri, mfano mzuri Sasa hivi yupo mama Samia Sasa wewe endelea kulala ukitegemea mama samia atakufanya kuwa tajiri. Najua umenielewa, Ila Kama bado endelea kulalama
 
Basi huyo mama ajiandae kukabili makombora. Kama anamtaka sana amchukue akafanye kazi nyumbani kwao Pemba
unamtisha raisi? Yaani aache kufanya kazi zake akusikilize wewe mwehu? Kisa eti makombora?
Mama Samia kanyaga twende.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…