King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,593
- 94,356
Hivi hujui kwamba kitendo cha Serikali kuhamia Dodoma imeathiri biashara ya kupangisha Dar?
Hapana mambo yalianza kuyumba kabla hata serikali kuhamia Dom.....DOm si wameende juzi juzi tu.? Halafu wengi muda mwingi wapo Dar.