Jamal Akbar
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 413
- 473
Mama katoaKwahiyo hela anatoa mfukoni mwake au ni hela za umma ?
Nani kasema kuwa katoa mfukoni, alafu ametoa nani kama sio yey, au ni wewe?Kwahiyo hela anatoa mfukoni mwake au ni hela za umma ?
Labda yeye ndio katoaMama katoa
Una hoja valid kabisa, naunga mkonoTengeni na maeneo ya malisho ya Mifugo, kuondoa kero ya migongano kati ya mkulima na mfugaji...msiishie hapo tu, ndani ya eneo la marisho kuwepo na huduma ya visima vya maji kwaajil ya Mifugo..
Yatengwe mashamba KWAAJILI ya kupanda mbegu Bora za malisho..
Wizara ya Mifugo ni kama Wizara yatima, Huwa inasahaulika sana.
Ukiangalia chat ya nchi zenye idadi nyingi ya Mifugo kwa Afrika, sisi tupo kwenye 3 Bora..
Lakini angalia wizara isivyopewa thamani.
Kwahiyo hela anatoa mfukoni mwake au ni hela za umma ?
Nchi ishakwisha hiiPia bunge la Dodoma hata kama ni la chama kimoja halina tena jukumu la kusimamia na kupitisha bajeti ya miradi kupitia kodi zetu.
Bali mambo yote yanategemea fedha binafsi za mtu mmoja tajiri.
Sasa mimi na wewe mbona tuko pamoja tu , nimeelewa , kwamba hajatoa mfukoni ila katoa kwenye pochi .Nani kasema kuwa katoa mfukoni, alafu ametoa nani kama sio yey, au ni wewe?
Nchi ishakwisha hii
Hili swala la kusema Rais ametoa kila kitu linakera sana, machawa haya hayachoki,mtu ukisema serikali imetoa utakuwa unapungukiwa niniKwahiyo hela anatoa mfukoni mwake au ni hela za umma ?
Mimi siko pamoja na weweSasa mimi na wewe mbona tuko pamoja tu , nimeelewa , kwamba hajatoa mfukoni ila katoa kwenye pochi .
Kwanza ni SUALA sio SWALA, SWALA wako Ngorongoro huko,Hili swala la kusema Rais ametoa kila kitu linakera sana, machawa haya hayachoki,mtu ukisema serikali imetoa utakuwa unapungukiwa nini
Vyovyote vile, watumishi wa umma wanafanya kazi kwa niaba ya Rais, na Rais ndio Kiongozi Mkuu wa Serikali, kama ambavyo nyie Chadema Mdude na Maranja Masese ni viongozi wa matusiHili swala la kusema Rais ametoa kila kitu linakera sana, machawa haya hayachoki,mtu ukisema serikali imetoa utakuwa unapungukiwa nini
Tulichelewa kumpata Rais huyu
BILLIONAIRES
America’s Top Givers 2022: The 25 Most Philanthropic Billionaires
MÁXIMO TUJA
Forbes Wealth Team
Forbes Staff
Follow
Jan 19, 2022,06:30am EST
From Warren Buffett to newcomer Jeff Bezos, the nation's most generous billionaires have given away a collective $169 billion in their lifetimes–and are still richer than ever.
The billions keep piling up for many of America’s great philanthropists. So, too, do their charitable contributions. The nation’s 25 biggest givers have donated a total of $169 billion over the course of their lifetimes, according to Forbes’ estimates. That’s up from $149 billion last year, partly due to new information uncovered by Forbes—but mostly due to another year of huge giving by these 25 mega-donors.
Leading the pack: Warren Buffett, whose annual summer gift of Berkshire Hathaway stock topped $4.1 billion this year. The funds, as usual, went to The Bill and Melinda Gates Foundation
Zipigwe tuKatika kuboresha huduma za mifugo na kuiepusha dhidi ya magonjwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia matumizi ya jumla ya Shilingi Bilioni 5.9 kwa ajili ya ujenzi wa majosho 257 katika Halmashauri 80, ambapo kati ya hayo tayari majosho 88 yamekamilika.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (Mb) amebainisha hayo katika Kijiji cha Narakauo kilichopo Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wakati akihitimisha ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani humo kukagua miradi ya ujenzi wa mabwawa kwa ajili ya mifugo, huku akibainisha majosho ambayo yapo katika hatua mbalimbali za ujenzi ni 169.
Akizungumza na jamii ya wafugaji Mhe. Ulega amesema katika kuhakikisha lengo na dhamira ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuokoa afya ya mifugo ya wafugaji katika mwaka wa fedha 2022/23, vifo vya mifugo vinavyotokana na maradhi ya kupe na ndorobo vimepungua kutoka asilimia 72 hadi 56.
Ameongeza kuwa tayari majosho matano yamejengwa katika Wilaya ya Simanjiro mwaka huu wa fedha, majosho mawili mwaka uliopita na majosho saba yatajengwa mwaka ujao wa fedha.
Aidha, amesema licha ya ujenzi wa majosho serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa dawa ya ruzuku kwa ajili ya kuweka kwenye majosho lita 52,560 kote nchini zenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3, huku takriban lita 400 zikipelekwa katika Wilaya ya Simanjiro kwa ajili kuzitawanya katika majosho yaliyopo kwenye wilaya hiyo.View attachment 2524982
Hii ndio mipumbafu ya Chama Cha Mambuzi isiyokuwa na akili inayopotoka. Mijinga ni mijinga tu!Kwahiyo hela anatoa mfukoni mwake au ni hela za umma ?