PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya.

Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao.

Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye biblia Yesu akisema "Hawajui walitendalo" hivyo nao wasamehewe

 
Rais Samia Suluhu Hassan: Ukiangalia clip za maandamano unaona kuna vijana waliingia kwa kufuata mkumbo, hawajui wanalolifanya, hivyo naelekeza vyombo vya Usalama ikiwemo ofisi za DPP kuchuja makosa.

Natoa msamaha huo kwa kuwa hata vitabu vya Dini vimeeleza kuhusu msamaha.
 
Hapana, Kwa sababu ilitangulia Arusi ya Kaka yake
 
Back
Top Bottom