Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,302
- 15,363
Kauli hii;Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Kaushia maneno yangu ww yana kuhusu nini mkuu. Usitishe watu tembea na yesuKua makini na maneno yako
We mbwa koko hujui maana ya upendo. Mkutano mkuu umchagua kwa 99.8% usemi hapendwi? Sema we humpendi sisi tunampenda tena sana.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
ChaiWe mbwa koko hujui maana ya upendo. Mkutano mkuu umchagua kwa 99.8% usemi hapendwi? Sema we humpendi sisi tunampenda tena sana.
CCM mpk vitukuu na vilembe itadumu na utaishuhudia ukiwa kuzimu.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Hakuna Rais ambae yupo Strong na vision kama Rais Samia, Mama ana vision sana na Tanzania ijayo yenye maendeleo.... Nchi inaenda kuwa na uchumi wa Kati ngazi ya Juu.... soonChama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Kikwete yupo nyuma ya Samia, pia Samia mwenyewe kafanya mengi sana huko mikoani.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Nchi yetu inakufa kwa sababu tunaendeleza haki sawa. Kenya ipo mbali kwa sababu haijawahi na haitakaa iongozwe na rais mvaa makobazi. Marais wavaa makobazi wametuharibia sana nchi kuanzia Kikwete, Mwingi hadi Mama.Kuwa makini sana sheikh, kama unatumika kisiasa ni heri ukaacha na ukafanya mambo yoko. ukiangalia asilimia kubwa ya wanaomchukia mama huyu ni wakristo, na asilimia chache ni waislamu ambao ni wafuata mkumbo tu. Wakati wa magufuli hatukuyaona haya, wakati wa mkapa hatukuyaona haya, ila akiingia tu Muislamu fyoko fyoko zinaanza
Pili, Uislamu haujatufundisha kuchukia mtu, awe Muislamu ama asie Muislamu wote tuwapende.
Nchi yetu inakufa kwa sababu tunaendeleza haki sawa. Kenya ipo mbali kwa sababu haijawahi na haitakaa iongozwe na rais mvaa makobazi. Marais wavaa makobazi wametuharibia sana nchi kuanzia Kikwete, Mwingi hadi Mama.
Ingekuwa hivyo Kenya na Rwanda wangekuwa wako nyuma sana tungewazidi kila kitu. Sudan na Somalia zingeongoza uchumi wa afrika.Kwanini muislamu akiongoza kunakuwa na amani+maendeleo! Wakristo wenyewe wanalijua hilo