Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,342
- 34,747
Same 🤣"i prefer not to speak , if i speak, am in big trouble"
Jose mourinho
OCTOBA HATUTIKI..... Zanzibar NDIO TULIVYOAMUAChama cha mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa samia.
samia hapendwi, simpendi, hatumpendi
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Naona kuna kila dalili ya ukosefu wa amani kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Ila ungetakiwa usicomment chochote,ndo ushasemaSina la kusema
Kuna wakati mwingine kunyamaza pia ni hekima
Bia ni bora sababu ya rangi ya dhahabu. mupe muruke mupe muruke.😅😅😅😅 ndio kwanza nipo bia ya tatu bwashee
4 shuq bwasheeBia ni bora sababu ya rangi ya dhahabu. mupe muruke mupe muruke.
Muhimu mnakula pesa yake tu😅
Ewaaaaaaaaah! Mengine atajua mwenyewe!Muhimu mnakula pesa yake tu😅
Watu kama nyie ni vichwa sana kwa kwel😊Ewaaaaaaaaah! Mengine atajua mwenyewe!
Amejazwa akajazika sasa hana pa kutokea.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.