Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,357
- 23,760
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tumepata Rais Sasa. Kwa hakika Tumepata nahodha hodari ,kwa hakika tumepata Jemedari hodari. Kwa hakika watanzania tuna kiongozi mbele yetu tunayepaswa kujivunia. Tuna kila sababu ya kusema asante Mungu kwa kutupatia Rais Samia .
Leo Rais wetu Mpendwa ameshiriki mkutano wa Umoja wa Afrika kuhusu mkutano wa G20 Uliofanyika Mwaka jana. Ikumbukwe ya kuwa Rais wetu Mpendwa alishiriki Mkutano huo Kwa Heshima kubwa ambayo alipatiwa na kualikwa Kushiriki mkutano huo ambao ulifanyika kule Brazil.
Alialikwa katika mkutano huo baada ya Dunia na viongozi mbalimbali wa Mataifa Makubwa na Tajiri Duniani kutambua mchango chanya wa Rais wetu katika kuinua na kuboresha maisha ya wananchi,kupambani nakupigia vita umaskini,rushwa ,ufisadi . Kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia , mapambano ya kuokoa Maisha ya Mama na mtoto kwa kuboresha huduma za afya na mengine mengi sana.
Hotuba ya Rais wetu Mpendwa imewagusa wengi na kuwapa matumaini wa Afrika kuona Rais Samia anageuka kuwa Sauti ya wa Afrika iliyobeba matumaini ya kila kundi.
Embu soma hapa
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.