Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Rais Samia akishiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Mei, 2025.
View: https://www.youtube.com/live/1KtMLCZSOXw?si=Fl1jdXaWwRIiwmqq