Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,840
Obama alitoka katika familia masikini, hakuwa tajiri wala mfanyabiashara!Ukiwa masikini au ukitoka familia masikini au wwe sio tajiri au mfanyabiashara sahau kuwa kiongozi kwa wenzetu maana wanayajua haya.
Kwao uraisi sio sandakalawe kitu cha kupewa pewa tu KILA mtu uraisi ni kubeba maisha ya nje.
Kiongozi wa nchi yafaa awe mfanyabiashara au mchumi.
Na alikuwa rais mzuri tu.Obama alitoka katika familia masikini, hakuwa tajiri wala mfanyabiashara!
Uchumi unaweza kufa hata mara milioni.Kwa Magufuli mlisema ameua uchumi, kwa Samia mnasema uchumi unakufa, kwani uchumi unakufa mara ngapi?
Amerithi ubishi kwa kaka yake hashauriki.Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza kuajiriwa katika maisha yao yote. Watu watamaliza vyuo lakini hawatapata fursa ya kuajiriwa katika maisha yao yote.
Rais atafute washauri wazuri wa maswala ya uchumi ili kuliokoa taifa. Kuna watu wanasema tulipe tozo tujenge nchi. Tozo kubwa au kodi kubwa inaharibu uchumi.
Tozo ndogo au kodi ndogo inachochea uchumi, inaruhusu watu kuwa na kipato cha kufanya manunuzi au cha kufungua biashara mpya na kuongeza mzunguko wa fedha. Ukimkamua mtu kwa kodi kubwa au tozo kubwa unampunguzia uwezo wa kufanya manunuzi au unaua kabisa uwezo wake wa kufungua biashara mpya. Kodi kubwa haijawahi kuwa suluhisho la kuwa na uchumi mzuri.
Mkuu uko sahihi ila sioni kiongozi mwenye dhamira ya kuboresha sekta binafsi. Hawa viongozi ni wachoyo,wajivuni,waongo na wanyonyaji.Waache wafaidi tu.Rais anatakiwa awe na washauri wazuri. Unajua serikali haina uwezo wa kuajiri labor force yote hivyo ana wajibu wa kuweka mazingira mazuri kwa sekta binafsi. Sekta binafsi ndio mwajiri mkubwa kokote duniani.
Akili zake alizonanazo zinamwambia Rais hakosei..!Kwa nini ashauriwe? Yeye mwenyewe kwa akili alizonazo, ana maoni gani?
Serikali inakusanya tozo, ili kuongeza vituo vya afya, madarasa na shule mpya. huko kuna kuongezeka kwa ajira za serikali. Kupitia mishahara kutaongeza purchasing power ya waajiriwa wapya, mzunguko wa fedha kwenye maeneo ya waajiriwa. Pia tukumbuke shughuli za ujenzi zitarudisha fedha kwa local contractors watakao jenga vituo vya afya na mashule, vibarua watapata ajira, wafanyabishara wata supply mahitaji ya ujenzi kwa wakandarasi.Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza kuajiriwa katika maisha yao yote. Watu watamaliza vyuo lakini hawatapata fursa ya kuajiriwa katika maisha yao yote.
Rais atafute washauri wazuri wa maswala ya uchumi ili kuliokoa taifa. Kuna watu wanasema tulipe tozo tujenge nchi. Tozo kubwa au kodi kubwa inaharibu uchumi.
Tozo ndogo au kodi ndogo inachochea uchumi, inaruhusu watu kuwa na kipato cha kufanya manunuzi au cha kufungua biashara mpya na kuongeza mzunguko wa fedha. Ukimkamua mtu kwa kodi kubwa au tozo kubwa unampunguzia uwezo wa kufanya manunuzi au unaua kabisa uwezo wake wa kufungua biashara mpya. Kodi kubwa haijawahi kuwa suluhisho la kuwa na uchumi mzuri.
Hahahaaaa anazo za kuvukia barabara tu Mkuu nyaniKwa nini ashauriwe? Yeye mwenyewe kwa akili alizonazo, ana maoni gani?
Lakini Aliupata utajiri akiwa gavana.Obama alitoka katika familia masikini, hakuwa tajiri wala mfanyabiashara!
Kumbe! Magufuli aliua uchumi hadi March 17 alipofariki. Mama akrithi tarehe 17 hiyo hiyo hadi leo takribani miezi 6 tu, haijazidi hapo. Bila shaka huo uchumi uliokuwa umeuliwa na Magufuli ulifufuka kwa sekunde chache sana akaja kuuua Samia tena.Uchumi unaweza kufa hata mara milioni.
Uchumi una tabia ya kufa mara nyingi na kufufuka mara nyingi pia ukifufuliwa.
Obama hajawahi kuwa gavana!Lakini Aliupata utajiri akiwa gavana.
Raisi ujawahi uza hata karanga
Maoni Hana. Yeye anajua kudemka tuKwa nini ashauriwe? Yeye mwenyewe kwa akili alizonazo, ana maoni gani?
Common sense is not common to all .. Remember that πππππSidhani kama kuna ulazima wa kushauriwa katika hili hapa ni yeye mwenyewe akumbuke malalamiko ya wananchi kuhusu tozo hizi.
Hapa ni common sense tu itumike vinginevyo waacheni watuburuze kwa kodi dhalimu halafu tuwe kama Zimbabwe.
Ana maoni ya Fuso tu mkuu pooooooompooooooooMaoni Hana. Yeye anajua kudemka tu