Rais Samia ashauriwe vyema uchumi unakufa

Tusisubiri tufike hadi Zimbabwe mkuu. Zimbabwe kulikuwa kunatisha, sijui kama bado kuko hivyo ila usiombe nchi ikafikia hali iliyokuwa nayo Zimbabwe. Kuna miaka nilipita Harare hali ilikuwa ya kusikitisha.
Sasa kama hawa viongozi wetu hawana mpango wa kuboresha uchumi unafikiri tunaweza kukwepa huo mdororo wa kiuchumi?

Check hii orodha na athari yake ikoje kwa WANYONGE na taifa kwa ujumla.
1.Tozo ya umeme

2.Tozo ya miamala ya simu

3.Tozo kwenye mafuta

Laiti ingekuwa Tanzania ni gari ningekuwa nishateremka kwa speed ya dereva wetu.

Mkuu naomba nauli nihamie Burundi 😐😐😐
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa washauri na wale wahujumu wote huwa wanaungana. Yaani mama anapelekewa taarifa imepitia kwa washauri lakini aliyeipendekeza ni yule mhujumu. Gesi imepanda bei, umeme umepanda bei, petrol imepanda bei mpaka mitumba imepanda bei lakini kwa sababu mama kila kitu analetewa cha serikali hawezi kujua bei ya vitu kupanda
 
Kwa hiyo unataka kusema huna imani na Mshauri wake wa karibu, na ambaye pia ni Waziri wake Msomi wa PhD ya masuala ya fedha na uchumi, na Mzalendo wa kweli kwa nchi yake! Mh. Dr. Mwigulu Nchemba!!!
 
Reactions: ral
'Ndugu mwanahabari usitilie shaka hata kidogo kuhusu umahiri wangu kwenye uchumi, hapa unaongea na daktari wa uchumi' in madelu's voice...
 
Huyu mama binafsi namshangaa,maana kila sikku ni makongamano na warsha tu,mwenda -ake alikusanya yeye anatapanya leo alipokea kombe na utitiri wa watu.
Yatupasa tuwe tunasomewa na pesa iliyo tumika siku hiyo,hio haikuwa kasi yako maana wasaidisi wako wapo, ulitakiwa kuwe na watu wachahe na siyo utitiri huo,posho ya makongamano inakausha kapu la unga,umesungukwa na viongosi nao wesa sema ni kama mafisi
 
Ukiwa masikini au ukitoka familia masikini au wwe sio tajiri au mfanyabiashara sahau kuwa kiongozi kwa wenzetu maana wanayajua haya.
Kwao uraisi sio sandakalawe kitu cha kupewa pewa tu KILA mtu uraisi ni kubeba maisha ya nje.
Kiongozi wa nchi yafaa awe mfanyabiashara au mchumi.
 
Kwa nini ashauriwe? Yeye mwenyewe kwa akili alizonazo, ana maoni gani?
Sasa kama anarembua tu kila mtu anaona ni kama haelewi nini kinaendelea bora ashauriwe maana hajui cha kufanya
 
Anaiga white house ya Marekani ,inavyokua na economic advisers
 
Kama chanjo haina faida unataka ahamasishe ujinga
 
Nashukuru kwa uchambuzi huu mzuri kabisa.Labda unisaidie na huu mkopo walio sign juzi na world bank wakidai ni kwaajili ya kuimarisha miundobinu ya Afya na elimu,sasa na hizi tozo sielewi kwenye eneo hilohilo ! kweli tunapigwa
 
Huwa hatusemi kuwa mama/baba kasema uongo. Tunasema ulimi umeteleza. Makosa ya Rais yote yanasukumwa kwa washauri wake as if yeye anatakiwa kuchukuwa kila kitu anachoshauriwa. Kwenye 1990s, makosa ya Mwinyi, Nyerere aliwasukumia wasaidizi wake - Malecela na Kolimba! Bado inaendelea mpaka leo.
Kwa nini ashauriwe? Yeye mwenyewe kwa akili alizonazo, ana maoni gani?
 
Alisema ye mtu wa [emoji408][emoji409][emoji410][emoji408] tu yaani anasubiri aletewe mezani watu wamesha mchorea
Aliongea hivyo kumnanga Magu lakini sioni uwezo wake huo wa kusoma hizo graphπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Rais anatakiwa awe na washauri wazuri. Unajua serikali haina uwezo wa kuajiri labor force yote hivyo ana wajibu wa kuweka mazingira mazuri kwa sekta binafsi. Sekta binafsi ndio mwajiri mkubwa kokote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…