Rais Samia apokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
764
Reaction score
685
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Sensa ya Wanyamapori iliyofanyika nchi nzima mwaka 2024 – 2025 iliyowasilishwa na Waziri ya Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji kupitia Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI), tarehe 29 Mei, 2026 Ikulu Dar es Salaam.
 
Tunataka kujua idadi kamili na ya kweli ya watu waliouwawa October 29, halafu ndio tutahesabu tuna nyumbu wangapi nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…