Rais Samia Apewe Udaktari wa Heshima kwa matendo makuu aliyotenda ndani ya muda mfupi ikiwemo kuirejesha Tanzania kwenye ramani ya dunia Kidiplomasia

Wadau wa JF & Watanzania Wote

Huu ndiyo ukweli na lazima usemwe na kila Mzalendo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya yale ambayo wengi wetu hatukuyatarajia

Ndiyo Mama na Kiongozi wetu mpendwa amefanya makubwa tena kwa Weledi wa hali ya juu na ujasiri mkubwa

Siwezi kuyataja yote leo kwani itachukua muda mrefu lakini itoshe tu kusema kuwa - Aksante Sana Mama Kuirejesha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Ramani ya Dunia ya Kidiplomasia

Baadhi yenu mtabeza kwa kusema kuwa jambo hili ni dogo na la kwawaida! Niwaeleza ukweli kwamba hili siyo jambo dogo hata kidogo na linahitaji hekima hali ya juu mno kulifanikisha

Mama ameifungua nchi na amemudu kuweka mambo sawa kwa kuondoa changamoto mbalimbali zilizoifanya nchi yetu kuwa kama kisiwa

Huu ni uwezo wa kipekee alionao Rais wetu hivyo njia ya kipekee ni kumtunuku Udaktari wa Falsafa

Tumtie moyo
Tumpe nguvu
Tumpe ushirilikiano

Mama anaweza

KaziIendelee
Hata mimi nakuuunga mkono saaanaa. Maaana haijawahi tokea raisi mwenye uthubutu wa kukamata magaidi kama huyuu.
 
Wadau wa JF & Watanzania Wote

Huu ndiyo ukweli na lazima usemwe na kila Mzalendo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya yale ambayo wengi wetu hatukuyatarajia

Ndiyo Mama na Kiongozi wetu mpendwa amefanya makubwa tena kwa Weledi wa hali ya juu na ujasiri mkubwa

Siwezi kuyataja yote leo kwani itachukua muda mrefu lakini itoshe tu kusema kuwa - Aksante Sana Mama Kuirejesha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Ramani ya Dunia ya Kidiplomasia

Baadhi yenu mtabeza kwa kusema kuwa jambo hili ni dogo na la kwawaida! Niwaeleza ukweli kwamba hili siyo jambo dogo hata kidogo na linahitaji hekima hali ya juu mno kulifanikisha

Mama ameifungua nchi na amemudu kuweka mambo sawa kwa kuondoa changamoto mbalimbali zilizoifanya nchi yetu kuwa kama kisiwa

Huu ni uwezo wa kipekee alionao Rais wetu hivyo njia ya kipekee ni kumtunuku Udaktari wa Falsafa

Tumtie moyo
Tumpe nguvu
Tumpe ushirilikiano

Mama anaweza

KaziIendelee
MMMMM kuna kaukweli ila its a bit premature, ili tembo wasilitie maji. Tumwache tupate bigger picture ya nachotaka kutufanyia naona light at the end of the tunnel. Bado kisiasa/demokrasia hajaonyesha anataka nini, tumpe muda, bado kazungukwa na various forces zisizotaka mabadiliko.
 
Wadau wa JF & Watanzania Wote

Huu ndiyo ukweli na lazima usemwe na kila Mzalendo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya yale ambayo wengi wetu hatukuyatarajia

Ndiyo Mama na Kiongozi wetu mpendwa amefanya makubwa tena kwa Weledi wa hali ya juu na ujasiri mkubwa

Siwezi kuyataja yote leo kwani itachukua muda mrefu lakini itoshe tu kusema kuwa - Aksante Sana Mama Kuirejesha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Ramani ya Dunia ya Kidiplomasia

Baadhi yenu mtabeza kwa kusema kuwa jambo hili ni dogo na la kwawaida! Niwaeleza ukweli kwamba hili siyo jambo dogo hata kidogo na linahitaji hekima hali ya juu mno kulifanikisha

Mama ameifungua nchi na amemudu kuweka mambo sawa kwa kuondoa changamoto mbalimbali zilizoifanya nchi yetu kuwa kama kisiwa

Huu ni uwezo wa kipekee alionao Rais wetu hivyo njia ya kipekee ni kumtunuku Udaktari wa Falsafa

Tumtie moyo
Tumpe nguvu
Tumpe ushirilikiano

Mama anaweza

KaziIendelee

Apo Ndiyo Umefikili Adi Mwisho?
 
Aseeeee!
 
Kwenye diplomasia ya dunia ya kubambikia watu kesi za ugaidi apewe udaktari wa heshima.
 
Akishapewa udaktari wa heshima pia aachie ngazi sababu uraisi Kama janga na kweli umemshinda sio kwa shida wanazopitia waTz saizi.
 
Wadau wa JF & Watanzania Wote

Huu ndiyo ukweli na lazima usemwe na kila Mzalendo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya yale ambayo wengi wetu hatukuyatarajia

Ndiyo Mama na Kiongozi wetu mpendwa amefanya makubwa tena kwa Weledi wa hali ya juu na ujasiri mkubwa

Siwezi kuyataja yote leo kwani itachukua muda mrefu lakini itoshe tu kusema kuwa - Aksante Sana Mama Kuirejesha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Ramani ya Dunia ya Kidiplomasia

Baadhi yenu mtabeza kwa kusema kuwa jambo hili ni dogo na la kwawaida! Niwaeleza ukweli kwamba hili siyo jambo dogo hata kidogo na linahitaji hekima hali ya juu mno kulifanikisha

Mama ameifungua nchi na amemudu kuweka mambo sawa kwa kuondoa changamoto mbalimbali zilizoifanya nchi yetu kuwa kama kisiwa

Huu ni uwezo wa kipekee alionao Rais wetu hivyo njia ya kipekee ni kumtunuku Udaktari wa Falsafa

Tumtie moyo
Tumpe nguvu
Tumpe ushirilikiano

Mama anaweza

KaziIendelee
Akipewa udaktari ndiyo Tanzania itakuwa nchi iliyoendelea? Mbona Watanzania tuna ushamba sana kwa hizi PhD?
 
Kuna kitu nimeanza ku-note,,kuna watu lengo lenu ni kuanzisha thread makusudi Ili taasisi ya Rais ipondwe kila kukicha,,mnaandika ili ku-trigger a certain reaction ,,lengo lenu ni opposite kbsa na mnachokiandika,,,in other words mnafanya psy-op🤣

Tumewasoma....
 
Wadau wa JF & Watanzania Wote

Huu ndiyo ukweli na lazima usemwe na kila Mzalendo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya yale ambayo wengi wetu hatukuyatarajia

Ndiyo Mama na Kiongozi wetu mpendwa amefanya makubwa tena kwa Weledi wa hali ya juu na ujasiri mkubwa

Siwezi kuyataja yote leo kwani itachukua muda mrefu lakini itoshe tu kusema kuwa - Aksante Sana Mama Kuirejesha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Ramani ya Dunia ya Kidiplomasia

Baadhi yenu mtabeza kwa kusema kuwa jambo hili ni dogo na la kwawaida! Niwaeleza ukweli kwamba hili siyo jambo dogo hata kidogo na linahitaji hekima hali ya juu mno kulifanikisha

Mama ameifungua nchi na amemudu kuweka mambo sawa kwa kuondoa changamoto mbalimbali zilizoifanya nchi yetu kuwa kama kisiwa

Huu ni uwezo wa kipekee alionao Rais wetu hivyo njia ya kipekee ni kumtunuku Udaktari wa Falsafa

Tumtie moyo
Tumpe nguvu
Tumpe ushirilikiano

Mama anaweza

KaziIendelee
Hivi Nyie huwa mnaandika KWa kutuliza akili au kukurupuka tu, daily mpo kumjenga kisiasa mtu ambae siasa hamtaki, umaarufu haumtaki, kipi amefanya KWa mda mfupi?

1.Mfumuko wa bei?

2.Watu kubambikiwa KESI?
3. Watumishi wa umma mpaka Sasa ameongeza mshahara?
4 ,maji na umeme wa mgao?
5 .kubomolea machinga
Acheni ushabiki usiokua na maana katika maisha ya watu
 
Kwa kipi ndugu
 
TUSISILE
 
Sijui ulisoma shule gani maana hata wale waliosoma shule za kata zenye wanafunzi mia tano na walimu wawili si wajinga kama wewe
 
Demokriasia nchini ipo ICU, Kuheshimu Katiba na haki za binadamu bado, Uhuru wa habari pamoja na sheria kandamizi nyingi zikiwa zimetungwa kipindi cha mwendazake hajafuta hata moja. Katazo la shughuli za kisiasa na mikutano ya hadhara.
 
Wadau wa JF & Watanzania Wote

Huu ndiyo ukweli na lazima usemwe na kila Mzalendo

Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya yale ambayo wengi wetu hatukuyatarajia

Ndiyo Mama na Kiongozi wetu mpendwa amefanya makubwa tena kwa Weledi wa hali ya juu na ujasiri mkubwa

Siwezi kuyataja yote leo kwani itachukua muda mrefu lakini itoshe tu kusema kuwa - Aksante Sana Mama Kuirejesha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Ramani ya Dunia ya Kidiplomasia

Baadhi yenu mtabeza kwa kusema kuwa jambo hili ni dogo na la kwawaida! Niwaeleza ukweli kwamba hili siyo jambo dogo hata kidogo na linahitaji hekima hali ya juu mno kulifanikisha

Mama ameifungua nchi na amemudu kuweka mambo sawa kwa kuondoa changamoto mbalimbali zilizoifanya nchi yetu kuwa kama kisiwa

Huu ni uwezo wa kipekee alionao Rais wetu hivyo njia ya kipekee ni kumtunuku Udaktari wa Falsafa

Tumtie moyo
Tumpe nguvu
Tumpe ushirilikiano

Mama anaweza

KaziIendelee
Kila sehemu ni Tzn yaani hadi raha.Go Samia go👇

Screenshot_20211120-162653.png

Screenshot_20211104-194754.png

Screenshot_20211112-134152.png
 
Back
Top Bottom