Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.

IMG-20250728-WA0076.jpg
IMG-20250728-WA0091.jpg
IMG-20250728-WA0084.jpg
 
Mabadiliko ya Katiba ya CCM yameonesha umahiri wa fikra wa Samia. Sasa Kuna wagombea watarudishwa wote wakakutane na panga la wajumbe.

Ile kulalamika Jina langu lilikatwa kwa kuonewa na Mwenyekiti, hakupo.
 
Kaondoa chuki dhidi yake akiwa Mwenyekiti. Huko kwenye wajumbe hakuna atakayeondoka na huzuni.

Yule mbunge wa Ukonga mkurya alilia kabisa mbele ya kamera. Siasa hizi zina mengi yanayoendelea nyuma ya pazia.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
Huyu Mama ni mtendakazi kama Ummy Mwalimu
 
Back
Top Bottom