The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,687
- 1,956
Kweli kabisa,sidhani kama raia wanahoji ni aina gani ya viwanda na viko mahali ganHivi ni vile viwanda vya enzi za bwana Kaijage cherehani nne tayari kiwanda.
hizo taarifa unazitoa wapi?Huyu mama ni zawadi ya upendeleo kwa watz ni Mungu tu katupendelea imagine tuna viwanda vingi kuliko Japan, America na Germany.Tunaongoza kwa mauzo ya nje yaan exports kwa Africa nzima. Pia tuna unemployment rate ndogo kuliko nchi zote Africa na Asia at 12%. Pia tunaimport kwa kias kidogo kuliko nchi zote Africa. Tuna stable source of energy yaan umeme haukatiki kwa juhudi za mama za kumalizia bwawa la Nyerere
Kama akina Lucas Mwashambwa wanaishia kuwa chawa tuVijana gani hawana ajira
Kwan hauishi Tanzania? Sehem yenye amani na utulivu kuliko sweden. Hizo takwimu zipo au unataka link?hizo taarifa unazitoa wapi?
Mbona hata wewe ni chawa tuKama akina Lucas Mwashambwa wanaishia kuwa chawa tu
Ndio hivyoDuh
Ova
Lini umeona nasifia watu humuMbona hata wewe ni chawa tu
Jezebel huyo.Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
viko wapi mbona huwa hatuvioni? viwanda alfu thelathini sio kitu kidogo ujue, manake kuna majengo 30,000 ya viwanda, uhalisia ungeonekana au vipo wapi hivyo viwanda? wakati wa magu tuliambiwa sijui kuna viwonder zaidi ya laki mbili, tulipouliza viko wapi wakasema hata cherehani ni kiwonder. tukasema sawa!==
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.
Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) .
Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi ambapo tumefikia tani 10milioni juu ya lengo la tani 7milioni, Pia kwa sasa Tanzania inaziada ya Bati(Msauzi) tani 130milioni kwa kuwa na akiba ya tani 260milioni kutoka hitaji la tani 130milioni.
View: https://www.youtube.com/live/sXTjrzsHUwU?si=kSsjr54A8rPZcZkE
Chadomo watakuja kutukana==

uvccm na UONGO ni kama mbususu na mtalimboRais Samia aongeza viwanda vipya 30,000
Katiba ipi? Mfano JPM angefariki 6 month kabla ya uchaguzi, Mama aapishwe hiyo miezi 6 ndo aongoze kama rais, ina mana angekua amebakiza awamu moja tu? Hapa Mama tunae hadi 2035 Mungu akijalia.Katiba hairuhusu wewe Chawa
Walisema hata ukiwa na cherehani mbili nacho ni kiwanda tayari.Hivyo viwonda si wangevitaja hata buku tu!.