ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,144
- 50,841
Viongozi wengi kama sio wote wa Dunia watashiriki Mkutano huo wa COP28.
========
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini kwenda Dubai kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) unaoanza leo Alhamisi, Novemba 30- Desemba 12, 2023.
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Rais Samia amesindikizwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
My Take: Je, Rais atakaa huko Dubai Kwa wiki zote 2 za Mkutano au?
Pia Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021