Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,315
Reaction score
18,010
Rais Samia na mwanao andaeni mlio

Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.

1. Kisiasa
Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ndani ya ccm kuna kundi kubwa sana lina chuki sana na wewe hasa baada kupanga watu unaotaka wawe wabunge wenye mlengo wa kutetea ufisadi na kuwakata wale wanaopinga ufisadi na wenye ushawishi ndani ya ccm. Mfano Ummy Mwalimu, Luhaga Mpina, January Makamba, Flatei Maasai wewe ndiyo uliagiza wakatwe kibabe.
Kiburi chako kikakutuma umptishe mwanao Wanu na mme wake Mchengerwa kibabe kuwa wabunge.

Chuki kutoka nje ya ccm ni kubwa baada ya wewe Rais Samia kumzuia Luhaga Mpina kugombea urais kibabe na kihuni kabisa kinyume na katiba ya nchi, kana kwamba haitoshi ukaamua kumfunga Lisu kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Chuki kutoka nje ya nchi pia ni kubwa sana, Tanzania imenyimwa misaada kutoka kila pembe ya dunia kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru!. Rais Samia umeharibu legacy ya Tanzania kwamba ni nchi ya amani na utulivu kutokana na mauwaji ya raia wasio na hatia uliyoyafanya siku ya uchaguzi octoba 29/ 2025 na sasa hivi unawindwa na mahakama ya ICC .
Wakati unaingia madarakani ulijitapa kufungua nchi, je umeifungua mpaka wapi?

2. Kijamii
Kijamii hamna kiongozi aliyewahi kuchukiwa Tanzania kama wewe Rais Samia kwa sababu umeendesha utekaji na uuwaji wa waziwazi kabisa bila aibu. Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo! Kwenye kichwa chako wewe Samia unadhani wana ccm wote wamefurahishwa na kitendo chako cha kumteka balozi, katibu wa itikadi na uenezi na mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Nikutonye tu ya kuwa wanaccm wengi wamechukizwa mno na kitendo hicho na wanasubiri tu muda ufike wakugawane .
Kana kwamba haitoshi umefanya mauaji ya kutisha tarehe 29 Oktoba kwa kuuwa watoto, wazee ,vijana na kina mama wasiokuwa na hatia yoyote na badala ya kuwaomba radhi watanzania wewe ukajitokeza kushangilia huku ukiahidi kufanya mauaji mengine zaidi ya hayo pale itakapopidi!
Andaa mlio utakaokuwa unalia siku unaenda kuonyesha ulipowazika hao watu uliowaua ili tu wewe uendelee kukalia ikulu kwa mabavu.

3 Kiuchumi.
Rais Samia umeharibu uchumi wa nchi kwa kuuza mbuga, makaa ya mawe, bandari zote na hivi karibuni umeamua kuuza hifadhi ya taifa ya dhahabu! , sasa hivi kila kona wachimbaji wadogo na wafugaji wanafukuzwa bila fidia wala utaratibu wowote.
Tukuulize swali Rais Samia baada ya nchi kuikuta ipo uchumi wa kati mpaka sasa umeifikisha uchumi wa wapi?

Kwa madudu haya Rais Samia utatetewa na nani baada ya kutoka ikulu? Nakushauri tu uanze kuandaa mlio wa kulia maana chuki na kisasi cha watanzania juu yako na uzao wako ni kubwa sana.
 
Nyie vijana wa CCM ndo mumetufikisha hapa tulipo

Huwa mnawaza matumbo yenu tu mkiondolewa nje ya mfumo ndo akili zinawakaa sawa

Hili swala tulilipigia kelele sana jamani no reform no election nyie mkatuona sisi wajinga

Ona sasa nchi inauzwa wazi wazi na huyu mama wa kioman
 
Mimi nawalaumu washauri wa Raisi wamemfelisha sana:
Ningekuwa Raisi ningewafukuza kazi wote:
Wanajali mshahala kupita kazi Yao:
 
Bila kujali itikadi za vyama, dini, au tofauti nyingine zetu zozote, hakika hakuna yeyote mwenye akili timamu anayeipenda nchi yetu na mwenye kuthamini uhai wa mwanadamu, ambaye anaweza kuunga mkono uharamia mkubwa na wa kutisha alioufanya huyu mwanamke. Kwa kweli ni rekodi ya Dunia ya uhalifu. Na kuendelea kuongozwa na mtu kama huy, ni kuliweka Taifa lote chini ya laana itokanayo na damu za maelfu ya watanganyika, alizozimwaga. Alistahili kuondoka mara moja, na hata asishiriki kwenye maridhiano yoyote ya kitaifa, asubirie tu hukumu yake sawasawa na uovu wake.
 
Nyie vijana wa CCM ndo mumetufikisha hapa tulipo

Huwa mnawaza matumbo yenu tu mkiondolewa nje ya mfumo ndo akili zinawakaa sawa

Hili swala tulilipigia kelele sana jamani no reform no election nyie mkatuona sisi wajinga

Ona sasa nchi inauzwa wazi wazi na huyu mama wa kioman
Huyu mpiga ngoma wa Luhaga Mpina, waliishi kifalme awamu ya tano hii ya sita wamejikuta wakigeuka wanyonge baada ya mishe zao zote kuingia michanga.
 
Rais Samia na mwanao andaeni mlio

Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.

1. Kisiasa
Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi.
Ndani ya ccm kuna kundi kubwa sana lina chuki sana na wewe hasa baada kupanga watu unaotaka wawe wabunge wenye mlengo wa kutetea ufisadi na kuwakata wale wanaopinga ufisadi na wenye ushawishi ndani ya ccm. Mfano Ummy Mwalimu, Luhaga Mpina, January Makamba, Flatei Maasai wewe ndiyo uliagiza wakatwe kibabe.
Kiburi chako kikakutuma umptishe mwanao Wanu na mme wake Mchengerwa kibabe kuwa wabunge.

Chuki kutoka nje ya ccm ni kubwa baada ya wewe Rais Samia kumzuia Luhaga Mpina kugombea urais kibabe na kihuni kabisa kinyume na katiba ya nchi, kana kwamba haitoshi ukaamua kumfunga Lisu kwa kesi ya uongo ya uhaini.

Chuki kutoka nje ya nchi pia ni kubwa sana, Tanzania imenyimwa misaada kutoka kila pembe ya dunia kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea tangu nchi ipate uhuru!. Rais Samia umeharibu legacy ya Tanzania kwamba ni nchi ya amani na utulivu kutokana na mauwaji ya raia wasio na hatia uliyoyafanya siku ya uchaguzi octoba 29/ 2025 na sasa hivi unawindwa na mahakama ya ICC .
Wakati unaingia madarakani ulijitapa kufungua nchi, je umeifungua mpaka wapi?

2. Kijamii
Kijamii hamna kiongozi aliyewahi kuchukiwa Tanzania kama wewe Rais Samia kwa sababu umeendesha utekaji na uuwaji wa waziwazi kabisa bila aibu. Watu waliotekwa chini ya utawala wako ni zaidi ya 100, Mdude na Humphrey Polepole wameacha michirizi ya damu hadi leo! Kwenye kichwa chako wewe Samia unadhani wana ccm wote wamefurahishwa na kitendo chako cha kumteka balozi, katibu wa itikadi na uenezi na mjumbe wa kamati kuu ya ccm? Nikutonye tu ya kuwa wanaccm wengi wamechukizwa mno na kitendo hicho na wanasubiri tu muda ufike wakugawane .
Kana kwamba haitoshi umefanya mauaji ya kutisha tarehe 29 Oktoba kwa kuuwa watoto, wazee ,vijana na kina mama wasiokuwa na hatia yoyote na badala ya kuwaomba radhi watanzania wewe ukajitokeza kushangilia huku ukiahidi kufanya mauaji mengine zaidi ya hayo pale itakapopidi!
Andaa mlio utakaokuwa unalia siku unaenda kuonyesha ulipowazika hao watu uliowaua ili tu wewe uendelee kukalia ikulu kwa mabavu.

3 Kiuchumi.
Rais Samia umeharibu uchumi wa nchi kwa kuuza mbuga, makaa ya mawe, bandari zote na hivi karibuni umeamua kuuza hifadhi ya taifa ya dhahabu! , sasa hivi kila kona wachimbaji wadogo na wafugaji wanafukuzwa bila fidia wala utaratibu wowote.
Tukuulize swali Rais Samia baada ya nchi kuikuta ipo uchumi wa kati mpaka sasa umeifikisha uchumi wa wapi?

Kwa madudu haya Rais Samia utatetewa na nani baada ya kutoka ikulu? Nakushauri tu uanze kuandaa mlio wa kulia maana chuki na kisasi cha watanzania juu yako na uzao wako ni kubwa sana.
Atatoa mlio wa kukalia gogo
 
Attachments

  • 20251229_202139.jpg
    20251229_202139.jpg
    147.6 KB · Views: 10

Dua la kuku hili halimpati mwewe. Kulia utaendelea kulia mwenyewe, uRais siyo nafasi ya mchezo. Huyo siyo mwenzio. Ana security na mafao hadi mwisho wa maisha yake.
 
Mimi nawalaumu washauri wa Raisi wamemfelisha sana:
Ningekuwa Raisi ningewafukuza kazi wote:
Wanajali mshahala kupita kazi Yao:
Amefeli wapi? Nani ana marking scheme ya kuongoza Tanzania?? Uchumi unapaa, miundombinu inajengwa, wafanyakazi wanapata mishahara, utalii unakuwa, mashule na hospitali zinajengwa.

Halafu mburukenge moja kutoka Kantalamba inasema Rais anafelishwa, amefeli wapi?
 
Hizi propaganda za udini zimepitwa na wakati. Tafuteni chaka lingine la kujificha.
Labda wewe mtoto mdogo huyaelewi masuala ya kisiasa, udini ukabila ukanda zote hizo huwa siasa chafu ambazo zinaanzishwa na watu wenye kutafuta uhalali mbele ya jamii (legitimacy).
 
Amefeli wapi? Nani anq marking scheme ya kuongoza Tanzania?? Uchumi unapaa, miundombinu inajengwa, wafanyakazi wanapata mishahara, utalii unakuwa, mashule na hospitali zinajengwa.

Halafu mburukenge moja kutoka Kantalamba inasema Rais anafelishwa, amefeli wapi?
Zipo nyingi sana akili za huyu muungwana, zenyewe huona mabaya kuliko mazuri.
 
Jivueni hilo vazi la udini mlilolivaa ili watu waweze kuwajua kwa kina.

Ina maana wale maelfu ya raia waliosusa kutoka kwenda kumpigia kura samuya ile oktoba 29 woote wale ni wakristo?!.
Kwann mnakosa akili kbs chawa, toka tupate uhuru hakujawahi kuwa na rais aliyekataliwa waziwazi na wananchi wengi kama huyu mama!
 
Back
Top Bottom