Nakuunga mkono. Nani kama mama. Hafokifoki hana wenge lakini mambo yanaenda smoothly as planned.Mama kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Piga kazi
Maendeleo ni wewe mwenyewe. Mama kashakuwekea mazingira rafiki. Sasa hhakuna kutishwa tishwa, kuibiwa mke, kuibiwa hela na mali.KWA KATIBA HII KUPATA MAENDELEO AYATAKAYO NI VIGUMU SANA AJIULIZE WENGINE WALISHINDWAJE KUPATA MAENDELEO?
Hakuna cha Maendeleo ya Nchi labda ya kila Mtu ajitafutie mwenyeweMaendeleo ni wewe mwenyewe. Mama kashakuwekea mazingira rafiki. Sasa hhakuna kutishwa tishwa, kuibiwa mke, kuibiwa hela na mali. Hakuna kitu kizuri kutafuta hela ukiwa na amani na faraja ya moyo na akili. Hata kama uchumi wa dunia unasuasua lakini that peaceof mind .
Mama hadi 2030 na kuendelea hadi achoke
Punguza makasiliko maendeleo lazima yakufikie ndio maana ulihesabiwaBado tunao wajinga wapatao milioni ngapi nchini ukiwemo na wewe mleta mada hii jinga!
Hakuna aliekukataza mdogo wanguSisi tuna uchu wa mikutano ya hadhara.
Maendeleo ya nchi kwa ujumla yapo na yataendelea kutekelezwa kama kuendelea na ujenzi wa vituo vya afya, Shule pia miundombinu kulingana na idadi ya watu.Hakuna cha Maendeleo ya Nchi labda ya kila Mtu ajitafutie mwenyewe
Kazi inaendelea chini ya Rais Samia Suluhu hatuna wasiwasiMama kanyaga twende tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Piga kazi
Exactly umenena vyema Rais Samia Suluhu anakufungulia milango ya maendeleo na sio kukujengea nyumba au kukupa chakula mkononi watu hawaelewi kabisaMaendeleo ni wewe mwenyewe. Mama kashakuwekea mazingira rafiki. Sasa hhakuna kutishwa tishwa, kuibiwa mke, kuibiwa hela na mali. Hakuna kitu kizuri kutafuta hela ukiwa na amani na faraja ya moyo na akili. Hata kama uchumi wa dunia unasuasua lakini that peaceof mind .
Mama hadi 2030 na kuendelea hadi achoke
Moja ya kitu wanajivunia ccm, ni takataka aina yakoNakuunga mkono. Nani kama mama. Hafokifoki hana wenge lakini mambo yanaenda smoothly as planned.
Utawala huu unatukosha. Kuna utu atuishi kama digidigi.
Sure Rais Samia Suluhu anaiendesha Tanzania kwa akili sana hana papala na maendeleo tunayaonaNakuunga mkono. Nani kama mama. Hafokifoki hana wenge lakini mambo yanaenda smoothly as planned.
Utawala huu unatukosha. Kuna utu atuishi kama digidigi.
Maendeleo ni lazima mzee maana mpaka sasa toka Rais Samia Suluhu aingie madarakani maendeleo yanaonekanaKWA KATIBA HII KUPATA MAENDELEO AYATAKAYO NI VIGUMU SANA AJIULIZE WENGINE WALISHINDWAJE KUPATA MAENDELEO?
Shida ni wewe unaejua Rais Samia Suluhu ameleta maendeleo mengi hasa katika sekta zinazokulenga direcy wewe mtanzania na bado unataka kupingaNdoto za mchana au kimpumu cha mchana ni shida
Husababisha tupo na watu wa aina hii
au shida ni nini?