Leo ni ile siku tuliyokua tunaisubiri kwa hamu kujua matokeo ya sensa kwa maendeleo ya jamii matokeo haya ya sensa yametoka mapema zaidi ukilinganisha na miaka mingine kwasababu ya kutumia mfumo wa kidigitali na uchu wa maendeleo alionao Rais Samia Suluhu.
Rais Samia Suluhu amesema kua Tanzania ina idadi ya watu milioni 61.741. kati yao wanawake ni milioni 31.6 sawa na asilimia 51 na wanaume milioni 30.53 sawa na asilimia 49 ya watu wote amesema kua jiji la Dar es salaam lina idadi kubwa ya watu amabao ni 5,383,728 (8.7% ya Watanzania wote) ikifuatiwa na Mwanza idadi ya watu ni 3,699,872 (6% ya Watanzania wote).
Kutokana na idadi hii ya watu kila mkoa, wilaya vijiji na vitongoji namanisha kila sehemu ya Tanzania itapata maendeleo kulingana na idadi ya watu na Rais Samia Suluhu ameahidi kupeleka maendeleo endelevu kila sehemu ikiwemo huduma za kijamii.