Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,572
- 2,495
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza, Prof. Arthur Peter Mutharika wa Chama cha DPP, Rais Mteule wa Jamhuri ya Malawi, kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa Malawi wa mwaka 2025.
Rais Dkt. Samia ametoa pongezi hizo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram ambapo pia amempongeza Rais anayemaliza muda wake, Dkt. Lazarus Chakwera wa Chama cha Malawi Congress Party (MCP) na watu wa Malawi, kwa uchaguzi wa amani.
Soma Pia >> UCHAGUZI MKUU MALAWI: Rais wa zamani Peter Mutharika (85), ashinda kwa kishindo kwa kura asilimia 57%
"Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa pongezi zangu za dhati kwa Mheshimiwa Profesa Arthur Peter Mutharika, Rais Mteule wa Jamhuri ya Malawi, kwa ushindi wake katika uchaguzi Mkuu wa Malawi wa mwaka 2025...ninampongeza Mheshimiwa Rais Dk. Lazarus Chakwera, Chama cha Malawi Congress Party (MCP) na watu wa Malawi, kwa uchaguzi wa amani"-Rais Dk Samia Suluhu