Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Rais kamjibu kisomi sana Ndugai. Kifo cha JPM kimewaibua wanafiki wengi sana.Jana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani.
Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali kwa ajili ya maendeleo ya watu. Mfano akizungumzia mkopo wa Trilioni 1.3 ambao Serikali imekopa kutoka IMF, Ndugai amesema ni "Mikopo mikubwa mikubwa isiyoeleweka". Ndugai alishangaa kitendo cha Serikali "KUPIGA MAKOFI" baada ya kupokea mikopo hiyo, akisema kwamba mwaka 2025 watu wataamua kama watapenda kuwa na Serikali inayokopa kopa.
RAIS SAMIA 'AMPIGA"
Akihutubia baada ya kushuhudia utiwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa SGR kipande cha Makutopora hadi Tabora , Rais Samia amesema kuna jitihada kubwa za kumvunja moyo katika mikopo, na akatoa hoja za kueleweka kueleza kwa nini tunakopa.
Rais amesema lazima tuendelee kukopa kwa sababu:
1. Tuna miradi ya matrilioni ambayo ilishaazishwa na lazima tuitekeleze kwa wakati. Alitolea mfano wa SGR kwamba ni uwekezaji wa trilioni zaidi ya 14, hivyo hatuwezi kusubiri ni lazima tukope kutekeleza.
2. Mikopo inayotolewa ni mikopo nafuu. Hili linaijibu hoja ya Ndugai aliyejaribu kuonesha kwamba deni la Taifa halistahimiliki akitia chumvi kwamba ipo siku "NCHI ITAPIGWA MNADA". Rais Samia amesema tunatafuta mikopo nafuu akisema kubwa ni uwezo wa kushawishi
3. Kukopa ni kawaida. Tanzania inakopa tangu enzi na enzi, Marais wote walikopa huku Rais aliyepita (Magufuli) akikopa zaidi kwa kuangalia kipindi alichokaa madarakani (Ndugai alikuwa anashangilia tu).
VIDEO (kwa hisani ya @mamayukokazini) HIYO HAPO CHINI
Na alisema siku ya kikao cha kwanza pale ikulu. Kwamba miradi iliyoanzishwa na hayati JPM yote inakwenda kumalizika.Amekopa trillion 7.7 ili kumalizia miradi ya huyo marehemu wenu. Laasivyo haitaisha hiyo
Unachobanwa kwenye makato kinatumika ndani kwa ajili ya shughuli nyingine za kila siku. Kinachokopwa ni hiyo miradi iliyoachwa na hayati JPM.Kuna haja gani ya kutubana kweny makato huku wakiendelea kukopa
Hizi fikra za kichawi.Miradi haitaikamilika, mihela itatokomea, kitakachobaki ni mzigo wa madeni makubwa kama ya DRC.
Hatari sana, kaongea pasipo kufikiria.Magufuli alikopa zaidi ya trillion 30 peke yake ndani ya miaka 5 tu, lakin Huyo Ndugai hakuongea kitu. Lakin huyu mama amekopa trillion 1.3 Ndugai anapiga kelele kila mahali!
Mjambiani mpumbavu sana huyu ,sisi tunataka kodi zetu na rasilimali zetu zijenge nchi siyo mikopo wakati umeweka tozoJana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani.
Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali kwa ajili ya maendeleo ya watu. Mfano akizungumzia mkopo wa Trilioni 1.3 ambao Serikali imekopa kutoka IMF, Ndugai amesema ni "Mikopo mikubwa mikubwa isiyoeleweka". Ndugai alishangaa kitendo cha Serikali "KUPIGA MAKOFI" baada ya kupokea mikopo hiyo, akisema kwamba mwaka 2025 watu wataamua kama watapenda kuwa na Serikali inayokopa kopa.
RAIS SAMIA 'AMPIGA"
Akihutubia baada ya kushuhudia utiwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa SGR kipande cha Makutopora hadi Tabora , Rais Samia amesema kuna jitihada kubwa za kumvunja moyo katika mikopo, na akatoa hoja za kueleweka kueleza kwa nini tunakopa.
Rais amesema lazima tuendelee kukopa kwa sababu:
1. Tuna miradi ya matrilioni ambayo ilishaazishwa na lazima tuitekeleze kwa wakati. Alitolea mfano wa SGR kwamba ni uwekezaji wa trilioni zaidi ya 14, hivyo hatuwezi kusubiri ni lazima tukope kutekeleza.
2. Mikopo inayotolewa ni mikopo nafuu. Hili linaijibu hoja ya Ndugai aliyejaribu kuonesha kwamba deni la Taifa halistahimiliki akitia chumvi kwamba ipo siku "NCHI ITAPIGWA MNADA". Rais Samia amesema tunatafuta mikopo nafuu akisema kubwa ni uwezo wa kushawishi
3. Kukopa ni kawaida. Tanzania inakopa tangu enzi na enzi, Marais wote walikopa huku Rais aliyepita (Magufuli) akikopa zaidi kwa kuangalia kipindi alichokaa madarakani (Ndugai alikuwa anashangilia tu).
VIDEO (kwa hisani ya @mamayukokazini) HIYO HAPO CHINI
Sasa ulitegemea kauli zibaki zilezile wakati muelekeo wa mambo umebadilika; si ndio ungekuwa unafiki?!Yaani kuna tofauti ya kauli za baadhi ya watu wenye mamlaka, za wakati JPM akiwa yuko hai na baada ya kufa, ni vitu viwili tofauti.
Kweli kabisa, Samia yupo humble sana hajikwezi. Wala hana mashindano na mtu au taasisi ya kimataifa.Sasa ulitegemea kauli zibaki zilezile wakati muelekeo wa mambo umebadilika; si ndio ungekuwa unafiki?!
Ukitaka kwenda mbinguni ni lazima ukubali kufa. Huwezi kutaka kupumua au halafu safari ya mbinguni iwe inakuhusu.Mjambiani mpumbavu sana huyu ,sisi tunataka kodi zetu na rasilimali zetu zijenge nchi siyo mikopo wakati umeweka tozo
Shule tena? Na za covid je?Tozo kwa ujenzi wa shule na hospital m
Sijui kutojikweza kwake kumemsaidia nini mwananchi. Ndugai kauliza swali la msingi; kama mmewawekea tozo wananchi ili ipatikane pesa ya kujenga vituo vya afya na madarasa, kwanini tena mkakope kufanya mambo hayohayo?Kweli kabisa, Samia yupo humble sana hajikwezi. Wala hana mashindano na mtu au taasisi ya kimataifa.
Vp Magu aliyekula trillion 1.5 zetu?Pole sana,
walewale waliokuwa wanajilia mihela awamu ya giza wapo na wanaendelea na ulaji. Uzuri wake mtakuja washangilia kwa kufanikiwa kutokubakisha mihela. Mambo ni yaleyale, vilevile kwani chama ni kilekile.
Simpendi JOb lakini Kauli yake tunapswa kuitafakari kwa kina.Jana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani.
Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali kwa ajili ya maendeleo ya watu. Mfano akizungumzia mkopo wa Trilioni 1.3 ambao Serikali imekopa kutoka IMF, Ndugai amesema ni "Mikopo mikubwa mikubwa isiyoeleweka". Ndugai alishangaa kitendo cha Serikali "KUPIGA MAKOFI" baada ya kupokea mikopo hiyo, akisema kwamba mwaka 2025 watu wataamua kama watapenda kuwa na Serikali inayokopa kopa.
RAIS SAMIA 'AMPIGA"
Akihutubia baada ya kushuhudia utiwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa SGR kipande cha Makutopora hadi Tabora , Rais Samia amesema kuna jitihada kubwa za kumvunja moyo katika mikopo, na akatoa hoja za kueleweka kueleza kwa nini tunakopa.
Rais amesema lazima tuendelee kukopa kwa sababu:
1. Tuna miradi ya matrilioni ambayo ilishaazishwa na lazima tuitekeleze kwa wakati. Alitolea mfano wa SGR kwamba ni uwekezaji wa trilioni zaidi ya 14, hivyo hatuwezi kusubiri ni lazima tukope kutekeleza.
2. Mikopo inayotolewa ni mikopo nafuu. Hili linaijibu hoja ya Ndugai aliyejaribu kuonesha kwamba deni la Taifa halistahimiliki akitia chumvi kwamba ipo siku "NCHI ITAPIGWA MNADA". Rais Samia amesema tunatafuta mikopo nafuu akisema kubwa ni uwezo wa kushawishi
3. Kukopa ni kawaida. Tanzania inakopa tangu enzi na enzi, Marais wote walikopa huku Rais aliyepita (Magufuli) akikopa zaidi kwa kuangalia kipindi alichokaa madarakani (Ndugai alikuwa anashangilia tu).
VIDEO (kwa hisani ya @mamayukokazini) HIYO HAPO CHINI
Alikuhonga.........mbna sisi hatujui hiloVp Magu aliyekula trillion 1.5 zetu?
Kipindi cha Magufuli kipande cha Kaliua mpaka uvinza km kama 200 hakijaisha.. kipande cha Sikonge kuunganisha na Katavi kama km 150 hakijaisha ndani ya miaka 5! niambie ni barabara gani ya kuunganisha mikoa Magufuli aliikuta haijaisha akaimaliza. Hapa naongelea ndani ya miaka 5. Nitajie barabara moja alikamilisha!Wapo saiti wanatumbua hela na kuzuga as though wanafanya kitu cha maana. Ndiyo maana barabara ya lami, kilometa moja wanajenga kwa zaidi ya miezi ^sea-tar^ na nusu.