Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 291
- 281
Rais Samia Suluhu amewajali sana na kuwathamini wananchi waliohamia Msomera kwa kiasi kikubwa hawakuwahi kufikiria siku moja watakuja kumiliki mashamba makubwa ambayo ni ekari 5, nyumba za kuishi ambazo zina maeneo makubwa ya ekari 2 na nusu na kujengewa miundombinu yote ikiwemo umeme, maji, shule, zahanati na huduma nyingine za kijamii ambazo zipo karibu na makazi yao.
Vitu vyote hivyo hawakuwahi kufikiria katika maisha yao ambapo kwa sasa wana hati miliki ya ardhi wakati Ngorongoro hawakuruhusiwa kujenga nyumba wala kufanya chochote katika eneo la hifadhi.
Rais Samia ana kila sababu ya kupewa pongeze kwa kuweka kuwapa maisha mapya mazuri wananchi hawa, amewafungulia njia amewapa mwanzo mpya na sasa wana maisha mazuri na salama zaidi.