Rais Samia ameutendea haki Urais

Katiba mpya na tume huru hakuna rais atakayethubutu kuziunda. Hivi vitu hupiganiwa kwa jasho na damu. Siyo kwa kelele za mitandaoni.

Inabidi tuuane kwanza ndiyo vitapatikana.
Huu ndio ujinga mliolishwa na wapuuzi wa CCM na nyie mkaamini, katiba mpya na tume huru vyote vitapatikana na hakuna mtu atakufa Kwa kudai au kutoa maoni yake, CCM mkijaribu uharamia wenu wote mtaishia jela mwisho wa siku
 
Ukweli ni kwamba utawala mbovu na dhaifu kupata kutokea ndani ya Tanganyika wa kwanza ni awamu ya 4 ya JK kisha ikafuata hii ya Mama!.
Hata upambe namna gani ila huo ndo ukweli hata wao wanajua hivyo tena wanakushangaa.
Huu ni utawala bora kabisa katika miaka ya hivi karibuni.ndio maana unaona tunapiga hatua za kimaendeleo kwa kasi ya mshale
 
Neno shujaa wa Afrika linatumika vibaya na limeanza kutumika awamu ya 5, kwa tanzania shujaa wa Africa ni nyerere tu, sina mengi ya kuongezea kasomeni historia
 
Ni akili za kipumbavu tu kufananisha JPM na hangaya. Magufuli kama aligusa maslahi yako moja kwa moja una haki ya kumchukia ila kiuongozi huyo Bibi tozo hana uwezo wa kushindana nae hata kidogo. Samia anapendwa na nyinyi machawa wake tu na nyinyi mnampenda inawezekana kimaslahi na si uongozi bora, hakuna sehemu nyingine anapokubalika. Sasa we jifariji tu.
 
Hapo umenena mkuu hizi tabia za kujikomba Kwa watawala ndiyo maana ushoga unaenda Kwa kasi
 
"....mama mchapa kazi, mzalendo wa kweli, nuru ya wanyonge, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, chuma cha reli,mama wa upendo...." Mhh! Nafikiri hata msifiwa akisoma uzi wako, ni dhahiri atatambua kuwa sifa hizo ni kutoka kwa chawa mchovu na asiyejitambua.
 
Huteuliwi ng'o hata unge dhikri uchi [emoji304]
 
Hivi kulipwa kwako kwa uchawa unaona ni tija? Jifunze kujitegemea. Urais una kikomo. Utaishije akistaafu?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
CCM mkijaribu uharamia wenu wote mtaishia jela mwisho wa siku
Utawapekeka jela hao ccm kwa nguvu ipi ya kisheria? Hivi hujui kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ubovu wa katiba na kukosekana kwa haki mahakamani!??

Nchi imejaa mazuzu hii
 
Orodhesha mazuri ya dikteta jiwe kama nilibuoorodhesha mazuri ya Samia. Acha kutoa povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…