Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

Tuwaulize nyie mliomuita.Perfect kwani alikuwa anaongoza Mbinguni?
Sasa wewe si kila anayesema lisilokupendeza kwenye utawala wa JK na Samia unamwita mjinga, kwa maana hizo awamu zipo perfect ila wajinga tu ndio hujifanya kueleza yale yasiopendeza. Watu wameona JK alikuwa dhaifu wakasema ila wewe unawaita wajinga tu.
 
🙄🙄🙄🙄
 
Unataka wafanyabiashara watishwe na wauawe kama alivyokuwa akifanya Magufuli? Rais Samia anafanya kazi kwa uangalifu na anajua anachokifanya. Rais wetu yupo makini.
Yes! Hata kijana wa kindergarten anajua anachokifanya. Tatizo siyp yeye kujua, ni assessm,ent ya sisi tunaojua kuzidi uwezo wake. Niambie mshauri yeyote wa rais anayejua kuliko mimi.
 
Back
Top Bottom