Rais Samia amefanya kila Mtanzania kuwa na Matumaini ya kutimiza Ndoto zake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,333
9,755
Ndugu zangu watanzania,

Katika maisha hakuna jambo baya linaloumiza, linalotesa moyo na akili, linalosononesha, linalokatisha Tamaa, linalovuruga na kuondoa amani na furaha, linaloleta hasira, mawazo, upweke, msongo wa mawazo na kunyong'onyesha mwili Kama kuishi pasipo matumaini, kuishi kwa kujikatia Tamaa, kuishi kwa kutojuwa au kufahamu ni vipi utapata mlo wa mchana au jioni, kuishi kwa kutokuwa na uhakika wa kupata matibabu pale utakapo pata changamoto ya Afya, kuishi kwa kutojuwa Ni vipi watoto wako watakavyo pata Elimu na kutimiza Ndoto zao.

Kuishi kwa kukata Tamaa na kukosa matumaini hupelekea mtu kuwa mwenye machunguu Moyoni wakati wote, mwenye hasira wakati mwingi, kuwaza mabaya, chuki, visasi na hata kuombea mabaya wengine anaohisi wamesabahisha yeye awe katika Hali Ile,kujiona hafai Wala kustahili katika jamii, kujiona ni mtu wa kudharaurika na kupuuzwa na wanajamii, ndio maana wengine hufikia hatua ya kufanya uharifu, kujiua, kujitenga na wanajamii, kukimbia na kutelekeza familia, kuingia katika matumizi ya madawa ya kulevya na ulevi wa Pombe Kama njia ya kuondoa mawazo na mengine mengi yasiyokubalika katika jamii na mbele za Mwenyezi MUNGU.

Tangia Rais Samia aingie madarakani na kuwatumikia watanzania ndani ya muda mfupi ameleta nuru, furaha, Tabasamu na matumaini makubwa Sana katika maisha ya watanzania, mioyo ya watanzania Ni yenye amani, Ni yenye matumaini, Ni yenye matarajio makubwa juu ya Ndoto zao.

Hii Ni kutokana na kazi kubwa na ya kipekee aliyoifanya Rais Samia katika kila secta iliyopelekea kuamsha matumaini ya ya watanzania.Ndio maana kwa Sasa Hakuna mzazi au mlezi au kijana mwenye wasiwasi juu ya kutimiza Ndoto za kielimu za mwanae au kijana husika kwa kuwa Rais Samia na serikali yake ameweka mazingira wezeshi, kwa kutoa Elimu bure hadi kidato cha sita pamoja na mikopo kwa wanafunzi wote wenye sifa na hivyo kuleta matumaini kwa vijana.

Ukienda kwa wakulima nao pia wanamamtumaini makubwa ya kuinuka kiuchumi na kuuaga umaskini kupitia kilimo baada ya Rais Samia na serikali yake kutoa mabillioni ya Ruzuku katika mbolea, ukienda kwa wafanyabiashara nako ni matumaini matupu kwa kuwa kila mfanyabiashara anaona namna mazingira ya kibiashara yalivyo mazuri na mzunguko wa fedha mitaani ni wenye Afya unaopelekea hali nzuri ya biashara.

Ukienda kwa machinga, bodaboda, waendesha bajaji hakuna anayebughudhiiwa na yeyote pale anapozingatia Sheria, kanuni na taratibu tulizojiwekea, hakuna kukimbizana mitaani hovyo Kama wahamiaji haramu. Hakuna bughuza Wala manyanyaso. Ni haki kila eneo na Usawa kwa wote na ni Sheria sawa kwa wote.

Ndio maana watanzania Wana furaha, amani, vicheko, Tabasamu, matumaini na matarajio kibao katika mioyo Yao kutokana na kuguswa na juhudi za mh Rais mama Samia na serikali yake katika kuwahudumia ndio maana ya Kuendelea kuaminika na kukubalika kwa serikali ya Rais Samia, ndio maana ya kutamalaki kwa amani na utulivu hapa nchini, ndio maana ya Kuendelea kuwa na mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania na ndio maana hakina matukio makubwa ya kiharifu au uvunjifu wa amani hapa nchini kwa kuwa kila mtu anajiona anaweza kutimiza Ndoto zake kwa njia halali kabisa.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Wahenga walisema chema chajiuza, kibaya chajitembeza.
Ndio maana Mimi Kama mwananchi wa kawaida nimeamua kuyasema mema ,mazuri na makubwa aliyoyafanya mh Rais katika uongozi wake kwa kuwa nimeyaona mwenyewe kwa macho yangu ,kwa kuwa yanaonekana vyema hata bila miwani.
 
Ndugu zangu watanzania,

Katika maisha Hakuna Jambo baya linaloumiza,linalotesa moyo na akili ,linalosononesha,linalokatisha Tamaa ,linalovuruga na kuondoa amani na furaha,linaloleta hasira,mawazo,upweke,msongo wa mawazo na kunyong'onyesha mwili Kama kuishi pasipo matumaini,kuishi kwa kujikatia Tamaa,kuishi kwa kutojuwa au kufahamu Ni vipi utapata mlo wa mchana au jioni,kuishi kwa kutokuwa na uhakika wa kupata matibabu pale utakapo pata changamoto ya Afya,kuishi kwa kutojuwa Ni vipi watoto wako watakavyo pata Elimu na kutimiza Ndoto zao.

Kuishi kwa kukata Tamaa na kukosa matumaini hupelekea mtu kuwa mwenye machunguu Moyoni wakati wote, mwenye hasira wakati mwingi,kuwaza mabaya ,chuki ,visasi na hata kuombea mabaya wengine anaohisi wamesabahisha yeye awe katika Hali Ile,kujiona hafai Wala kustahili katika jamii,kujiona Ni mtu wa kudharaurika na kupuuzwa na wanajamii,ndio maana wengine hufikia hatua ya kufanya uharifu,kujiua,kujitenga na wanajamii,kukimbia na kutelekeza familia,kuingia katika matumizi ya madawa ya kulevya na ulevi wa Pombe Kama njia ya kuondoa mawazo na mengine mengi yasiyokubalika katika jamii na mbele za Mwenyezi MUNGU.

Tangia Rais Samia aingie madarakani na kuwatumikia watanzania ndani ya muda mfupi ameleta nuru,furaha, Tabasamu na matumaini makubwa Sana katika maisha ya watanzania,mioyo ya watanzania Ni yenye amani,Ni yenye matumaini,Ni yenye matarajio makubwa juu ya Ndoto zao.

Hii Ni kutokana na kazi kubwa na ya kipekee aliyoifanya Rais Samia katika kila secta iliyopelekea kuamsha matumaini ya ya watanzania.Ndio maana kwa Sasa Hakuna mzazi au mlezi au kijana mwenye wasiwasi juu ya kutimiza Ndoto za kielimu za mwanae au kijana husika kwa kuwa Rais Samia na serikali Yake ameweka mazingira wezeshi,kwa kutoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita pamoja na mikopo kwa wanafunzi wote wenye sifa na hivyo kuleta matumaini kwa vijana .

Ukienda kwa wakulima nao pia wanamamtumaini makubwa ya kuinuka kiuchumi na kuuaga umaskini kupitia kilimo baada ya Rais Samia na serikali yake kutoa mabillioni ya Ruzuku katika mbolea.ukienda kwa wafanyabiashara nako Ni matumaini matupu kwa kuwa kila mfanyabiashara anaona namna mazingira ya kibiashara yalivyo mazuri na mzunguko wa fedha mitaani Ni wenye Afya unaopelekea Hali nzuri ya biashara.

Ukienda kwa machinga,bodaboda, waendesha bajaji hakuna anayebughudhiiwa na yeyote pale anapozingatia Sheria ,kanuni na taratibu tulizojiwekea,hakuna kukimbizana mitaani hovyo Kama wahamiaji haramu,Hakuna bughuza Wala manyanyaso,Ni haki kila eneo na Usawa kwa wote na Ni Sheria sawa kwa wote.

Ndio maana watanzania Wana furaha,amani,vicheko , Tabasamu matumaini na matarajio kibao katika mioyo Yao kutokana na kuguswa na juhudi za mh Rais mama Samia na serikali yake katika kuwahudumia.ndio maana ya Kuendelea kuaminika na kukubalika kwa serikali ya Rais Samia,ndio maana ya kutamalaki kwa amani na utulivu hapa nchini,ndio maana ya Kuendelea kuwa na mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania na ndio maana hakina matukio makubwa ya kiharifu au uvunjifu wa amani hapa nchini kwa kuwa kila mtu anajiona anaweza kutimiza Ndoto zake kwa njia halali kabisa.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Mimi ni mmojawapo yaan toka aingie madarakani Rais wangu Samia nina furaha sana tofauti na miaka iliyopita na mwaka huu ndyo kazid kunipa furaha sana namuombea afya njema
 
Ewe shetani ushindwe
Upotee chawa wewe
Uregee na ushindwe
Usituletee ngwengwe

Wachosha uchafu wako
Wewe mramba matak'oo
Hata wale wamechoshwa
Ni hao wako walengwa

Tafuta kazi muluwa
Utakufa kwa uchawa
Uchawa si sifa njema
Wajikosesha heshima

Hoja yako ile ile
Kama wimbo wa jogoo
Kila siku uko pale
Shombo ja shimo la choo

Nenda kalishike jembe
Uachane na uzembe
Umelowa ndembendembe
Bendera yako uzembe

Lisome shairi hili
Lau utie akili
Japo wewe ni jahili
Mwanangu tia akili

Kujikomba na uchawa
Kwako sasa ni ugonjwa
Sasa ninakupa dawa
Mwanangu acha uchawa

Chawa kiumbe mchafu
Mbaya kuliko mfu
Ukitaka utukufu
Shurti upige kazi

Leo siandiki mengi
Tamati hapa msingi
Uchawa taponza wengi
Nawe ushaathirika
 
Ndugu zangu watanzania,

Katika maisha Hakuna Jambo baya linaloumiza,linalotesa moyo na akili ,linalosononesha,linalokatisha Tamaa ,linalovuruga na kuondoa amani na furaha,linaloleta hasira,mawazo,upweke,msongo wa mawazo na kunyong'onyesha mwili Kama kuishi pasipo matumaini,kuishi kwa kujikatia Tamaa,kuishi kwa kutojuwa au kufahamu Ni vipi utapata mlo wa mchana au jioni,kuishi kwa kutokuwa na uhakika wa kupata matibabu pale utakapo pata changamoto ya Afya,kuishi kwa kutojuwa Ni vipi watoto wako watakavyo pata Elimu na kutimiza Ndoto zao.

Kuishi kwa kukata Tamaa na kukosa matumaini hupelekea mtu kuwa mwenye machunguu Moyoni wakati wote, mwenye hasira wakati mwingi,kuwaza mabaya ,chuki ,visasi na hata kuombea mabaya wengine anaohisi wamesabahisha yeye awe katika Hali Ile,kujiona hafai Wala kustahili katika jamii,kujiona Ni mtu wa kudharaurika na kupuuzwa na wanajamii,ndio maana wengine hufikia hatua ya kufanya uharifu,kujiua,kujitenga na wanajamii,kukimbia na kutelekeza familia,kuingia katika matumizi ya madawa ya kulevya na ulevi wa Pombe Kama njia ya kuondoa mawazo na mengine mengi yasiyokubalika katika jamii na mbele za Mwenyezi MUNGU.

Tangia Rais Samia aingie madarakani na kuwatumikia watanzania ndani ya muda mfupi ameleta nuru,furaha, Tabasamu na matumaini makubwa Sana katika maisha ya watanzania,mioyo ya watanzania Ni yenye amani,Ni yenye matumaini,Ni yenye matarajio makubwa juu ya Ndoto zao.

Hii Ni kutokana na kazi kubwa na ya kipekee aliyoifanya Rais Samia katika kila secta iliyopelekea kuamsha matumaini ya ya watanzania.Ndio maana kwa Sasa Hakuna mzazi au mlezi au kijana mwenye wasiwasi juu ya kutimiza Ndoto za kielimu za mwanae au kijana husika kwa kuwa Rais Samia na serikali Yake ameweka mazingira wezeshi,kwa kutoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita pamoja na mikopo kwa wanafunzi wote wenye sifa na hivyo kuleta matumaini kwa vijana .

Ukienda kwa wakulima nao pia wanamamtumaini makubwa ya kuinuka kiuchumi na kuuaga umaskini kupitia kilimo baada ya Rais Samia na serikali yake kutoa mabillioni ya Ruzuku katika mbolea.ukienda kwa wafanyabiashara nako Ni matumaini matupu kwa kuwa kila mfanyabiashara anaona namna mazingira ya kibiashara yalivyo mazuri na mzunguko wa fedha mitaani Ni wenye Afya unaopelekea Hali nzuri ya biashara.

Ukienda kwa machinga,bodaboda, waendesha bajaji hakuna anayebughudhiiwa na yeyote pale anapozingatia Sheria ,kanuni na taratibu tulizojiwekea,hakuna kukimbizana mitaani hovyo Kama wahamiaji haramu,Hakuna bughuza Wala manyanyaso,Ni haki kila eneo na Usawa kwa wote na Ni Sheria sawa kwa wote.

Ndio maana watanzania Wana furaha,amani,vicheko , Tabasamu matumaini na matarajio kibao katika mioyo Yao kutokana na kuguswa na juhudi za mh Rais mama Samia na serikali yake katika kuwahudumia.ndio maana ya Kuendelea kuaminika na kukubalika kwa serikali ya Rais Samia,ndio maana ya kutamalaki kwa amani na utulivu hapa nchini,ndio maana ya Kuendelea kuwa na mshikamano na upendo miongoni mwa watanzania na ndio maana hakina matukio makubwa ya kiharifu au uvunjifu wa amani hapa nchini kwa kuwa kila mtu anajiona anaweza kutimiza Ndoto zake kwa njia halali kabisa.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kweli Kabisa
 
Back
Top Bottom