Rais Samia alionya dhidi ya kutumia majukwaa ya dini kueneza ajenda za Kisiasa. Huyu Nabii hakusikia kauli ya Mkuu wa Nchi?

Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Chawa kwa imani ya manabii hasa wengi ni kwamba wanapewa maagizo ya kutoa bila kujali viongozi wa usalama. Sasa kama mtu ana amini kapewa maagizo na mungu na ayasema atamwogopaji Samia wakati yeye katumwa na Mungu kwa imani yake!
 
machawa mnataka mpaka manabii nao wawe machawa haiwezekani. Yaani unabii ndiyo huo kusema vitu bila kufuata mkumbo
 
Huyo tapeli ni nabii wa kwako ,mkeo na nyumbu wengine wa huko ufipa.
 
Ilimradi ni unabii ana ruhusa ya kuongea lolote. Huwezi kumzuia mtu kuongea ndoto na kasema ni ndoto kwasababu tu ya uchawa! Mbona hao manabii walikuwa wanamuongelea Mbowe kushidwa machawa hamsema kitu hapa! punguzu kubenua benua
 
🚮🚮
 
Tuwapinge wote wanaotumia dini kukamilisha matakwa yao ya kisiasa....haijalishi ni nani.

Tukifika sehemu miskitini na makanisani tukahubiri dini basi tumekwisha.
Haishi mtu...
Mbona Samia mnamsifia...
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!

..Na yeye Rais Samia kwanini alitumia jukwaa la kidini [ baraza la EID ] wakati ni mwanasiasa?

..au kwanini Mufti Zubeir alipofanya siasa kwenye shughuli ya kidini, Rais Samia hakumchukulia hatua?
 
Ukiwa msema ukweli hasa mkosoaji wa CCM lazima uchukiwe kwa kigezo cha udini au ukabila
 
Kwanini Hao viongozi wakichaguliwa kwenye nyadhfa za kisiasa wanaapa kwa kutumia Biblia na Quran
Wao hawachanganyi siasa na dini?

Kwanini Bungeni kuna wachungaji na masheikh hao hawachanganyi dini na siasa?

Kwanini kwenye mikutano yao mikubwa wanawaita viongozi wa dini kuwaombea hapo hawachanganyi siasa na dini?

Dini na siasa huchanganyika wakati wa kukosoa pekee?
 
Back
Top Bottom