Rais Samia alionya dhidi ya kutumia majukwaa ya dini kueneza ajenda za Kisiasa. Huyu Nabii hakusikia kauli ya Mkuu wa Nchi?

Hapo vipi!
 
Attachments

  • vdfr_5a6e3c13.mp4
    10.2 MB
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Takataka. Mfukuzeni Gwajima bungeni
 
Tujifunze kuyasikia hata tusiyoyapenda, wapo masheikh na wachungaji mbona wameshaanza kampeni hatuwaambii waache au kuwakamata?
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Kweli ww matako, kila cku ccm ndo wanahonga viongozi wa dini
 
Huyu atakuwa mgeni
Bora akusanye sadaka zake na atafune watakaojileta
Pia asisahau V8 Akizikusanya kwa masikini
Haya mengine awaachie wanaoelewa siasa za nchi zilivyo
Oohooooo
 
Wewe ndio mpumbavu,kama unajua Nchi inaendeshwa kikatiba angalizo la Rais linakiuka Katiba gani?
Kila binadamu Ana uhuru wa kutoa mani yake binafsi na basi hapo kavunja katiba kivipi ? Anyways mkuu me sisemi wewe ila watu wengi nlosoma nao shule na nawaona wanatetea ccm ni wale walokuwaga wamwisho darasani kama what is civics iliwashinda wataweza kungamua the ongoing economic crisis na what should be done to stabilize? Hawawezi kamwe ndio mana maneno yao huwa ni ndio, mfano serikali ikitangaza kupitia mama samia ttcl imepata faida wanashangilia ndiooo, alafu ukaguzi wa kichele ukigundua ttcl imeingiza bonge la loss, mama anapokuja kusema walosababisha wawajibiishwe utayasikia tena yanasema ndioooo, kama majitu majinga yan matahira
 
Sawa lakini uhuru uwe na mipaka
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Lo! Ngumu kumeza
 
Back
Top Bottom