Kilaza ni kilaza tu mkuu, hata angekuwa malkia!BOngo fleva wake yaan ila bado tu
Yaani anataka asifiwe yeye pekee nchini, hata sifa asizostahili!.
Kilaza ni kilaza tu mkuu, hata angekuwa malkia!BOngo fleva wake yaan ila bado tu
Wala hata sijafungua video.Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.
Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.
My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Lakini kuna wale walisoma na Albadri kwa ajili ya Mama, mbona hukusema juu yao?Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.
Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.
My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Kwani kusifia mtu Kuna athari gani mbaya kama kufanya Kampeni kwenye nyumba za ibada? Umeanza kuharibika ubongoIla kumsifia rais sio kuchanganya siasa na dini?
Afu hajui sisi watanganyika hata hatumpendiKilaza ni kilaza tu mkuu, hata angekuwa malkia!
Yaani anataka asifiwe yeye pekee nchini, hata sifa asizostahili!.
Dua ina ubaya gani? Huyo pasta amesema anamuombea huyo Lisu kulikuwa na shida gani?Lakini kuna wale walisoma na Albadri kwa ajili ya Mama, mbona hukusema juu yao?
Akiwepo mmoja anamsemea asiye ccm kqenu afaa afungiwe jiwe shingoni na kutupwa baharini
Mtauwa wangapi mkuu kabla nanyi Mungu hajaamua uhai wenu?
Kwani sifa inahatarisha amani?Wakimsifia mashekh njaa ana wachekea. Awaache wacbungaji na hajui kuwa hao wakiamua kutuita tutaitika kwa haraka kuliko mtu yeyote yule hapa tz.
Si udini. Kwan huyo nabii kahatarisha amani.? Ukilaza mwingine bwana 😆😆😆Kwani sifa inahatarisha amani?
Weka na wale wanaomsifia ile inakua sio siasa No reform No ElectionWatu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.
Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.
My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Wewe si umeamua kukata kipande kidogo cha msemaji ili upate hati ya kumpeleka kwa pilato?Dua ina ubaya gani? Huyo pasta amesema anamuombea huyo Lisu kulikuwa na shida gani?
Kwani viongozi wa kisiasa wanaapishwaje? 😂Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.
Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.
My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
🚮Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.
Suala ni kuchanganya siasa na dini. Hutaki waseme usichotaka, ila unataka usifiwe!Kwani kusifia mtu Kuna athari gani mbaya kama kufanya Kampeni kwenye nyumba za ibada? Umeanza kuharibika ubongo
Sifa Kwa Kiongozi ziiichanganywa na dini Kuna shida gani? By the way ni Kiongozi gani alitumia jukwaa la dini kumsifu Rais?Suala ni kuchanganya siasa na dini. Hutaki waseme usichotaka, ila unataka usifiwe!
13:32 “Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha, Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, ...Sifa Kwa Kiongozi ziiichanganywa na dini Kuna shida gani? By the way ni Kiongozi gani alitumia jukwaa la dini kumsifu Rais?
Sifa Kwa Kiongozi ziiLuka 13:32 “Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha(Herode), Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa,ichanganywa na dini Kuna shida gani? By the way ni Kiongozi gani alitumia jukwaa la dini kumsifu Rais