Rais Samia alionya dhidi ya kutumia majukwaa ya dini kueneza ajenda za Kisiasa. Huyu Nabii hakusikia kauli ya Mkuu wa Nchi?

Kosoa Rais ila usitumie majukwaa ya dini ndio maana Kuna siasa.
Hana uwezo wakumpangia nini mtumishi wa Mungu anakata kunena kwa waumini wake!. Mwambieni huyo jibibi lenu atapigwa KILA kona ya nchi.
 
Au siyo? Basi sawa endeleeni.Nyie wapumbavu ndio mlikuwa mnamjaza upepo kibaraka Lisu.
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Angekuwa amemsifia Samia ungeandika huu ujinga wako? Au kwakuwa aliyekunya ni bata!
 
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Mbona polisi wanaingilia sasa

Ila inaonekana siyo mzuri kwenye history hasa kipindi cha kupambana na ukoloni na ukandamizwaji wa watu ungekuwa vizuri ungeona namna dini zilivyochangia kwenye kupambana dhidi ya ukoloni na uonevu kwa watu, haiwezekani kwa kiongozi wa dini kuona watu wanaonewa ukakaa kimya

Mbona kwenye mambo mengine ya mnawatumia viongozi wa dini ila wakikemea uonevu mnawaambia waache siasa? Ila hiyo siasa inakuwa wakiwa against na serikali ila wakitoa matamko yanayowapendeza siyo siasa
 
Kwani Samia pekee ndiye viongozi wa dini wanapaswa kuyaona mazuri yake tu, unataka ndoto na maono ya viongozi wa imani wayaseme ya mtu mmoja tu? Hii ni fallacy
 
Au siyo? Basi sawa endeleeni.Nyie wapumbavu ndio mlikuwa mnamjaza upepo kibaraka Lisu.
Watu mnaabudu mashetani. Mngekuwa mnamfuata Mungu/Allah wala msingekuwa mnashabikia matendo maovu yanayofanywa na serikali. Na dini haswa ndiyo inafaa kuonyesha maovu yenu
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Wakimsifia mashekh njaa ana wachekea. Awaache wacbungaji na hajui kuwa hao wakiamua kutuita tutaitika kwa haraka kuliko mtu yeyote yule hapa tz.
 
Na wale mashehe waliomuombea eti ashinde uchaguzi kwa kishindo wenyewe ni sawa?!
Kwa vyovyote vile huyo mamako ni mweupe mnoo hasa kichwani...hajiamini hata kdg!

Tume ni yake, polisi ni wake, usalama ni wake, mabango nchi nzima yake, Tv na radio zote kwa ajili yake...lakini bado tu hajiamini...LAZIMA ana shida!!.
 
BOngo fleva wake yaan ila bado tu
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
Ila kumsifia rais sio kuchanganya siasa na dini?
 
Hana uwezo wakumpangia nini mtumishi wa Mungu anakata kunena kwa waumini wake!. Mwambieni huyo jibibi lenu atapigwa KILA kona ya nchi.
Mleta mada nadhani ni kilaza wa mwisho Duniani.

Nadhani hajawahi hata kujua nafasi ya Viongozi wa Dini katika kufikisha ujumbe wa Mungu.

Hajui kwenye Quran na Biblia kuna habari inayosomwa ba kukubaliwa na Waislam na Wakristo inayohusu Nabii Mussa alivyokuwa anatumiwa na Mungu kuleleka ujumbe kwa Pharao kiongozi wa Misri kuhusu kuaaachia Wairsael kutoka Utumwani.

Nadhani ni mjinga anayepumbazwa na vihela vidogo anavyopewa na hawa madhalimu wa CCM.
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Back
Top Bottom