Rais Samia alionya dhidi ya kutumia majukwaa ya dini kueneza ajenda za Kisiasa. Huyu Nabii hakusikia kauli ya Mkuu wa Nchi?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,081
Reaction score
84,973
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Soma pia Pre GE2025 - DSM - Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!
 
Unatumbua kuwa bandiko lako linavunja Sheria ya nchi Yani kwa namna Moja au nyingine Sheria inakutaka usisambaze taarifa yeyote aliyeiona mahali ama kubuni kwani ukifanya hivyo pakichafuka ww ndio wakwanza kuwajibishwa futa haraka
Mwambieni mchungaji aache haraka
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa Kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Eeleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia Hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

View: https://www.instagram.com/reel/DIamYuYiIXe/?igsh=emgwZXpvZDVlOW54

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.

Ngoja wajuvi wa mambo waje
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa Kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Eeleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia Hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Akina Shehe Mwaipopo hukuwaona walichokuwa wanafanya? Angesema mazuri kwa Samia ungeandika utumbo huu? Acheni watu waseme. Mnaogopa machafuko wakati tayari mnaua watu
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Eti waliamniwa mashekhe nasio wachungaji
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Naona umesaidia kupromoti Mkuu...

Safi sana!!!
 
Akina Shehe Mwaipopo hukuwaona walichokuwa wanafanya? Angesema mazuri kwa Samia ungeandika utumbo huu? Acheni watu waseme. Mnaogopa machafuko wakati tayari mnaua watu
Kabla au baada ya Kauli ya Rais?
 
Watu wa dini wafanye ajenda ya dini zao badala ya kutumikia ajenda za Wanasiasa kwa mgongo wa dini au kusema Mungu amewatuma wakati wanajua hatuwezi thibitisha.

Ieleweke vyema kwamba kuchanganya dini na siasa kumeleta maafa Nchi mbalimbali and so Rais alikuwa na Nia ya kuzuia hilo Kwa mujibu wa kiapo chake.

My Take
Mambo ya Kisiasa yatamalizwa Kisiasa na sio kwenye majukwa ya dini.
Umeandika ujinga na hayo mawazo ni ya kipumbavu. Nchi hii inaendeshwa kikatiba.
 
Back
Top Bottom