Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,734
- 6,292
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho