Rais Samia akiwa Rwanda - Agosti 02, 2021

Rais Samia akiwa Rwanda - Agosti 02, 2021

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
IMG_4512.jpg

IMG_4510.jpg

IMG_4509.jpg

IMG_4508.jpg
 
#KaziInaendelea
#NchiKwanza
#SiempreJMT
#SiempreSSH
 
Hapo kakutana na bonge la tapel na limwamba fulani la kutembelea gizani mama atakubali tu yaani tumwombee[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Ile bandar kavu pale Ruvu itarejea..! Kuhusu madini...Mungu tusaidie..[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Ile bandar kavu pale Ruvu itarejea..! Kuhusu madini...Mungu tusaidie..[emoji22][emoji22][emoji22]
Ni kilio Ila ipo siku tunaemlilia atatujibu kilio chetu, huenda Musa yupo Midian na anajianda kuja kuonana na Haruni Kisha waende kuomba tupewe ruhusa ya kuondoka kwenda nchi ya ahadi japo sio kwa urahisi😢😢😢
 
Ni kilio Ila ipo siku tunaemlilia atatujibu kilio chetu, huenda Musa yupo Midian na anajianda kuja kuonana na Haruni Kisha waende kuomba tupewe ruhusa ya kuondoka kwenda nchi ya ahadi japo sio kwa urahisi[emoji22][emoji22][emoji22]
Aaameeen...!!![emoji23]
 
Nipo kupunga upepo kuelekea upande wa kuchwa kwa jua nasikiliza wimbo usiotafrika kwa lugha rahisi bali kwa aliejawa na ile ahadi tulioisubiri ya hamsini baada ya Yesu kuondoka, naimani mda saa na wakati uko karibu maana natokwa na chozi lisiloweza kufutika ambalo ni ngumu mtu kuliona chozi Hilo😢😢😢😢
 
Nipo kupunga upepo kuelekea upande wa kuchwa kwa jua nasikiliza wimbo usiotafrika kwa lugha rahisi bali kwa aliejawa na ile ahadi tulioisubiri ya hamsini baada ya Yesu kuondoka, naimani mda saa na wakati uko karibu maana natokwa na chozi lisiloweza kufutika ambalo ni ngumu mtu kuliona chozi Hilo[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Mkuu mimi usingizi umegoma
 
Back
Top Bottom