Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Magufuli hakuwa na chuki na watu bali utendaji wabovu na wala rushwa

Huyu jamaa Mramba ni Inner cycle ya ule mfumo mbovu uliotumbuliwa,
so naona jitihada za kuendelea kurudisha kale ka 'system' kanaendelea
Punguani mkubwa, kwa taarifa hakuna alowahi kuwa mwadilifu tanesco kama mramba.
Mcha mungu na mtenda haki.
Uchaga ulimponza na ilitumika kiki ya kijinga kama iliyotumika kumuondoa mkurugenzi wa mihimbili ili aweke msukuma mwenzake,
Uongozi wa mwendazake ulikuwa wa kikabila sana
 
Mama, pole na majukum!, Uzi huu unakupima na unamadhra kwako. Acha viashiria vya udini. Huku mitaani tunaishi na mademu wa dizaini hizo, wanakumind halafu wapo radhi wajinyonge iwapo itajulikana uana kula goodtime na wao., Acha udini, sio poa,

Maisha ni uhalisia, hakuna maigizo, tuheshimu ustaarabu wa neutral. Wa Serikali.

Asante.
Tatizo mwendazake alianzisha upendeleo, aliteua kulingana na kabila lake au kanda yake na hasa dini yake.
Zaidi ya 80% walikuwa wakristo.

Sasa mama anaupiga mwingi,
Huyo katibu mkuu kiongozi ni mtu mdini sana, ndye anafanya yote hayo mama anatia stamp tu.
Soon mtasikia shirika flani board inateuliwa na 80% ni waislam,
Nasema soon.

Time will tell
 
Wachaga walijengewa mentality kwamba lazima wawe viongozi kwenye idara mbalimbali za serikali. Wakakutana na Magufuli anayewajua vyema walivyo vibaka, akawapiga pini la hatari
Hakuna mchaga aliyekua anapewa madaraka kwa kubebwa, sifa ndizo ziliwabeba, magufuli alitamka hadharani kuwa wachaga wangoje kwanza ila wao hawakungoja wakatumia vipaji vyao kwenda upande wa pili wa ujasiriamali, ingawa jamaa aliwafuata huko na kukomba hela ktk account zao bado walitulia.
 
M/kiti wa bodi Ya Tanesco Ni Muislam
DG Wa Tanesco pia ni Muislam
DG Wa Rea Ni Muislam Pia

Ts Islamic State

Bakwata Wanaupiga Mwingi Sana
bila kumsahau waziri wa nishati! mambo ni moto kabisa
 
Subira huvuta kheri. Hatimaye Mungu amemsemea Mhandisi Mramba. Hapa ndipo unapoamini System inafanya kazi yake. Mramba in Mwadilifu LAKINI aliondolewa kwa sababu.......
Alipandisha bei za umeme kiholela panga likampitia awe makini safari hii
 
Wewe utakufa kihoro na chuki zako.

Mama ataemdelea kuteua waislam kama kawaida na she is here to stay mpaka 2030 huko.

Ikikuuma sema
I thought yupo hadi 2035, au mimi ndio sielewi.
Kipindi hiki si ni zari tu!??. Au katiba inasema vipi?!.
 
Hakuna mchaga aliyekua anapewa madaraka kwa kubebwa, sifa ndizo ziliwabeba, magufuli alitamka hadharani kuwa wachaga wangoje kwanza ila wao hawakungoja wakatumia vipaji vyao kwenda upande wa pili wa ujasiriamali, ingawa jamaa aliwafuata huko na kukomba hela ktk account zao bado walitulia.
Aàaaah wapi
 
Bora ateue waislamu wote, sisi wakristo ni majizi na roho mbaya.
Kwenye wizi sina hakika ila roho mbaya naunga mkono.
Ila pia waislam wana lao moja NALO ni udini uliopitiliza.
Ukiweka management ya waislamu watupu basi hapo patakua nssf ya 2005-15..
Tena enzi hizo za 2005-15 wizi ulikuwa umekithiri chini ya utawala wa hao jamaa.

Cha msingi changanya 50/50 ili akosekane wa kuanzisha udini
 
Makafi. Ri tulieni. Ni zamu yetu watu waadilifu. Endeleeni kuimba mapambio mpaka 2030
 
Hakuna mchaga aliyekua anapewa madaraka kwa kubebwa, sifa ndizo ziliwabeba, magufuli alitamka hadharani kuwa wachaga wangoje kwanza ila wao hawakungoja wakatumia vipaji vyao kwenda upande wa pili wa ujasiriamali, ingawa jamaa aliwafuata huko na kukomba hela ktk account zao bado walitulia.
Kwa hiyo unataka kuniambia kule CRDB wenye vigezo vya kuajiriwa ni wachaga peke yako, maana huko ndio mmejazana utafikri ile ni benki ya wachaga.
 
Kwenye wizi sina hakika ila roho mbaya naunga mkono.
Ila pia waislam wana lao moja NALO ni udini uliopitiliza.
Ukiweka management ya waislamu watupu basi hapo patakua nssf ya 2005-15..
Tena enzi hizo za 2005-15 wizi ulikuwa umekithiri chini ya utawala wa hao jamaa.

Cha msingi changanya 50/50 ili akosekane wa kuanzisha udini
Wakuu,

Nyinyi mmezoeleka. Taifa hili kiongozi wa sehemu flani akiwa tu muislam basi ni shida kwenu. Sijui hata waislam wamewakosea nini.

Sasa waislam wameshawajua nyinyi agenda zenu. Hawapati tabu kabisa wao wanaendelea kufanya kazi tu nyinyi pigeni kelele
 
Back
Top Bottom